![Shida Za Dunia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/57/54/rBEeM1ob5QCAOErVAADaMt6LXHo902.jpg)
Shida Za Dunia
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Shida Za Dunia - Jose Chameleone
...
Rafiki yañgu alikuja nyumbani kunielezea shida fulani eti alifukuzwa kazini na hajui atafanya nni
mke wake amemtoroka ....rafiki zake wanamcheka shida amepata mingi amechoka dunia anajuta
açha kulia shida za dunia ebu tulia Mungu anakujaribia*2
Maisha mwendo n pole ukipata shida leo usikonde wengi wako kama wewe usijali açha kulia eti maisha makali tazama kwanza uone kesho usikonde uwape kichekesho maisha itakuwa na matatizo Muombee Mungu atakupa uwezo
acha kulia shida za dunia ebu tulia Mungu anakujaribia *2
hizo shida usifikirie ukonazo pekee yako labda Mungu anakuletea kesho huezi jua kama leo siku yako
Similar Songs
More from Jose Chameleone
Listen to Jose Chameleone Shida Za Dunia MP3 song. Shida Za Dunia song from album Gaitano is released in 2017. The duration of song is 00:04:26. The song is sung by Jose Chameleone.
Related Tags: Shida Za Dunia, Shida Za Dunia song, Shida Za Dunia MP3 song, Shida Za Dunia MP3, download Shida Za Dunia song, Shida Za Dunia song, Gaitano Shida Za Dunia song, Shida Za Dunia song by Jose Chameleone, Shida Za Dunia song download, download Shida Za Dunia MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Dionysius cb4pr
mapenzibvqod
i like this song
BG and I will be there at leastwise you have a good day and I will be there at least you have a good day and I will be there at least you have a good