Ninakuamini
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Ujue nakupenda kuwa nawe nimeridhia
Sitokuacha ukaenda amini ninavyokwambia
Sijawahi kujutia tangu niwe na wewe kwenye mahusiano
Amani najisikia kweli hili penzi halina mfano
Huwa na waza hivi ulikuwaga wapi we mwelewa
Najiuliza mbona kuja kwangu umechelewa
Sikia nikwambie nilipokuwa ilikuwa maumivu tu
Yakafanya nilie nikose amani nisiuone wangu utu
Sikia nikuambie nilipokuwa ilikuwa maumivu tu
Yakafanya nilie nikose amani nisiuone wangu utu
Me ninakuamini, me ninakuamini
Me ninakuamini, me ninakuamini
see lyrics >>Similar Songs
More from Stanytz
Listen to Stanytz Ninakuamini MP3 song. Ninakuamini song from album Ninakuamini is released in 2024. The duration of song is 00:03:16. The song is sung by Stanytz.
Related Tags: Ninakuamini, Ninakuamini song, Ninakuamini MP3 song, Ninakuamini MP3, download Ninakuamini song, Ninakuamini song, Ninakuamini Ninakuamini song, Ninakuamini song by Stanytz, Ninakuamini song download, download Ninakuamini MP3 song