Yeye Ni Wangu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeye Ni Wangu - Team Mombasani Cogyok
...
AAAAAHHHHUUUUU!!!!!! ABZ ON THE BEAT!!!!! YEYE NI WANGUUUUU YEYE NI WANGUUUU (YASHUAAAHHHHHHH) YEYE NI WANGUUUUU YEYE NI WANGUUUUU (ELOHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIM -ELOHIM) ******************************** TUMUIMBIE BWANA AAAAHHH TULISIFU JINA LAKE YEYE EEHH KATUOKOA SISI IIIIIIIIIHHHH ADONAI WETU ATUPENDA AAAHH TUMUIMBIE BWANA AAAAHHH TULISIFU JINA LAKE YEYE EEHH KATUOKOA SISI IIIIIIIIIHHHH ADONAI WETU ATUPENDA AAAHH YEYE NI WANGU (NI WANGU) NI WANGU PEKEE YAKE EEEEH(NI WANGU) NI WANGU DAIMA AAHH(NI WANGU) NI WANGU ADONAI (NI WANGU) MIMI NI WAKE EHHHH( NI WAKEI EEHHH) NI WAKE PEKEE YAKE EHHH(NI WAKE) KANIOKOA MIMII IIIHH (NI WAKEE E EHH) KWA DAMU YAKE KWELI (NI WAKE ) KWA DAMU YA THAMANI IIIIIIIH WENYE DHAMBI TUKA OKOLEWA AHH KWA UPENDO WADHATI IIIIIHHH KATUFANYA TUWE WATU WAKE EEHH KWA DAMU YA THAMANI IIIIIIIH WENYE DHAMBI TUKA OKOLEWA AHH KWA UPENDO WADHATI IIIIIHHH KATUFANYA TUWE WATU WAKE EEHH YEYE NI WANGU (NI WANGU) NI WANGU PEKEE YAKE EEEEH(NI WANGU) NI WANGU DAIMA AAHH(NI WANGU) NI WANGU ADONAI (NI WANGU) MIMI NI WAKE EHHHH( NI WAKEI EEHHH) NI WAKE PEKEE YAKE EHHH(NI WAKE) KANIOKOA MIMII IIIHH (NI WAKEE E EHH) KWA DAMU YAKE KWELI (NI WAKE ) TUMECHEZEEE NGOMAAA AHHH TARUMBETA ZEZE NA FILIMBI IIIHH KAYAMBA NA GITA AHHH SIFA SHANGWE KWAKE ADONAII IIIHH TUMECHEZEEE NGOMAAA AHHH TARUMBETA ZEZE NA FILIMBI IIIHH KAYAMBA NA GITA AHHH SIFA SHANGWE KWAKE ADONAII IIIHH YEYE NI WANGU (NI WANGU) NI WANGU PEKEE YAKE EEEEH(NI WANGU) NI WANGU DAIMA AAHH(NI WANGU) NI WANGU ADONAI (NI WANGU) MIMI NI WAKE EHHHH( NI WAKEI EEHHH) NI WAKE PEKEE YAKE EHH(NI WAKE) KANIOKOA MIMII IIIHH (NI WAKEE E EHH) KWA DAMU YAKE KWELI (NI WAKE ) *************************************** ALPHA AND OMEGA ,BEGINNING AND THE END ELOHIM (ELOHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIM- MWANZO NA MWISHO ,MWEEZA WA YOTE ,NI WEWE -ELOHIM) ADONAI, ABBA FATHER (ELOHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIM ELOHIM (ELOHIM) MTETETEZI WANGU,JEMEDARI WANGU KIONGOZI WANGU (ELOHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIM) ELOHIIIIM (ELOHIM) KWAKE NITAJIFICHA NITAKUA SALAAAAMAA AAAHHH (ELOHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIM) (ELOHIM) WEWE NI WANGU (NI WANGU) WANGU PEKEE YAKE (NI WANGU) NI WANGU DAIMAAAH (NI WANGU) NI WANGU ADONAI (NI WANGU) MIMI NI WAKE (NI WAKE) NI WAKEEE (NI WAKE EEEEH) DAIMAA (NI WAKE EHH) PSALMS RECORDS!!!!!!!
Similar Songs
More from Team Mombasani Cogyok
Listen to Team Mombasani Cogyok Yeye Ni Wangu MP3 song. Yeye Ni Wangu song from album Yeye Ni Wangu is released in 2023. The duration of song is 00:04:41. The song is sung by Team Mombasani Cogyok.
Related Tags: Yeye Ni Wangu, Yeye Ni Wangu song, Yeye Ni Wangu MP3 song, Yeye Ni Wangu MP3, download Yeye Ni Wangu song, Yeye Ni Wangu song, Yeye Ni Wangu Yeye Ni Wangu song, Yeye Ni Wangu song by Team Mombasani Cogyok, Yeye Ni Wangu song download, download Yeye Ni Wangu MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Ferdinand Tayo
Ferdinand Tayo
shalom Shalom ,RESPECT TMC
wow what a nice song
Noni Gathonig3ukz
Can't get enough of this song ❤️
Fahstam De Visherz
A major HIT ON GODS GLORY AMEN
Team Ruiru Youth (TRY)
Wow, what a beautiful song! The melody is so captivating, and the lyrics are touching. This song is definitely going to be on repeat for a while. Absolutely amazing!❤️
stanlym5clj
song of the year!
Elohim awabariki sana ,Zaburi 20;1-5