Mziki Na Pombe
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2023
Lyrics
Mziki Na Pombe - PRINCE LUCKY
...
atmyaaa ayaaa....wangapi wanadai tulewe .eeh mnataka passion ama pombe*2 ahhhh pombee ..basi ita waiter alete pombe na nini tenaa,(choma na sembe)hamuezi lewa bila sembe vipi na magaldem (wueewe). tupewe tottot nisikie tingting*2Ongeza mziki na pombe tunataka mziki na pombe*2 .....zimeshika nasikia fiti pedi wa magenge"waiter leta pombe zikuje na machupa usilete hapa vikombe leo pombe nakunywa bila chesa mifuko zimejaa,niko na mapesa leo lazima nipite na mtu sijali hata kaa ni mtu wa mtu aii I meed a vellaa I need a vella ndo nisikie better kwanza kesho siendi wera kesho ni siku ya kuenjoy hela kama Prince niko Lucky kesho kuna kaprincess katanitolea turkey (chorus) basi tupewe tottot nisikie tingting*2ahh (Ongeza mziki na pombe. tunataka mziki na poombe)*2ahh mister DJ ongeza voliuum leo sitaki calls flight mode mbaka saa tisa rada ni safi naona meza tushachachisha mbogi ishacome macho zimenyanya mbaka zinakutisha arrg na usikanyage waya kama uko jaba uko taptap zote ni dawa we lenga stress acha kukaa ni kama umepagawa ulipiganga shower before nikuje so siezi gawa nasikia kuwika nasikia kuimba zimeshika sana hadi nasikia kutapika kila mtu ni mhandsome nasikia joh kujipa acha kushika kaa bei huwezi fika (chorus)basi tupewe tottot nisikie tingting*2...ongeza mziki na pombe.(tunataka mziki na pombe)*2.......................
Similar Songs
More from PRINCE LUCKY
Listen to PRINCE LUCKY Mziki Na Pombe MP3 song. Mziki Na Pombe song from album Mziki Na Pombe is released in 2023. The duration of song is 00:03:28. The song is sung by PRINCE LUCKY.
Related Tags: Mziki Na Pombe, Mziki Na Pombe song, Mziki Na Pombe MP3 song, Mziki Na Pombe MP3, download Mziki Na Pombe song, Mziki Na Pombe song, Mziki Na Pombe Mziki Na Pombe song, Mziki Na Pombe song by PRINCE LUCKY, Mziki Na Pombe song download, download Mziki Na Pombe MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Zubed 8xlkf
Isaiah Simiyuivnfm
nice [0x1f607][0x1f605][0x1f605]
saishak42ry
wow mziki kalii sana[0x1f609][0x1f609][0x1f609][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f] imewexa
levens
keep the fire burning
Mercy Lyakalfc9y
best artist in kenya lucky keep the spirit burning.nice always
@Davyk53nk
[0x2728][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]nice song
blackie 10la3
wetu ❤️
Esther kibira
Keep it up young man, the beats
lazims
nice one ♥️
barraqee9fl
They gonna discover you soon,,, keep it up
Edinah kerubocez6q
nice song[0x1f641][0x1f641]
Mirror boy1
amazing Prince..... one day _____?
hili goma nimoto sanaaa