Nazama Natoka
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Nazama Natoka - PRINCE LUCKY
...
Beby tufanye kungwi siri zote nikuambie.....Ama kasuku ndege nyimbo nzuri nikuimbie......Sina nguvusipingi hata ukueleza nitafune Kama njiwa unifuge ili kwako nitulie...eeh..ukikamata natetemeka michezo napendaga..aaeh Kama asali kulambalamba kwa pato natetema...(tetema)..Kando Kati napitapita na wewe ukimimina aaeh Kama nyoka nateleza kwenye tundu lake.. aaeh (nazama natoka) yaani mzimamzima natumbukia bila msosi (nazama natoka)nikizidiwa habari za ndani nyanyua..aaeh
Mmmh si Kama yule wa zamani alivyonikomoa nishampata karaha ananichanganya na vile anavyonipepetapepeta kwa chini fundi kupimia.. kiwanjani naye naenjoy anapenda
Similar Songs
More from PRINCE LUCKY
Listen to PRINCE LUCKY Nazama Natoka MP3 song. Nazama Natoka song from album Nazama Natoka is released in 2022. The duration of song is 00:03:02. The song is sung by PRINCE LUCKY.
Related Tags: Nazama Natoka, Nazama Natoka song, Nazama Natoka MP3 song, Nazama Natoka MP3, download Nazama Natoka song, Nazama Natoka song, Nazama Natoka Nazama Natoka song, Nazama Natoka song by PRINCE LUCKY, Nazama Natoka song download, download Nazama Natoka MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
prince tucky
rewinrewandoski
tuko pamoja
Masinde Nickson
[0x1f630] like it
thabita swai
nice voice
halima jumahqihy
wow I like it
Annah Peterq7amb
,❤️❤️❤️
Dina Kemunto
you nailed it price ,,sautii tamuu
Angel Lillie Khanali
❤️❤️
Mercie Mukai
i like it
Vickie Torye92ig
lit
Venic Nyabonyi
mistari laini....naipenda sana kaka...
Grace Mumbec9ltw
o my days[0x1f641], i can't stop listening to it....its so nice[0x1f618][0x1f618]....Sauti ya kitanzania,....MashaAllah
my boy