![Sua Sua](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/53/60/rBEeMVn9mGGAGg9jAACcaR2jrSI104.jpg)
Sua Sua
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Sua Sua - Vivian (KE)
...
Vivi Vivian vivi Vivian vivi Vivian eeh tedy B nilikuita tu baby ah the way i treated you friendly ah natamani kurudi tu page subira ipo bye bye baby ah mmmh nilikupata nika kushow my love uuuh bae nawee ukautesa moyo wangu uuh nimechoka kuteseka kulia aah uuuh bae juu wee uliutesa moyo wangu aah nacho fanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye unachofanya sua sua haupo straight sua sua tafuta ya kwako
sitaki zako wacha zipotelee potelee potelee potelee nyumba magari pesa zitokomee tokomee tokomee tokomee nakutakia wema player (player) bye bye (bye bye) nishapata wangu gentleman mambo mengi kando tafadhali usiniletee aibuuu kwetu nyumbani ushaletanga masaibu uuuh nishapata kipenzi cha moyo zabibu nakutakia wema player uuh bye bye nilikupata nikakushow my love uuh bae na wewe ukautesa moyo wangu uuuh nimechoka kuteseka kulia aah uuh bae juu we uliutesa moyo wangu aah unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye
Vivi Vivian vivi Vivian vivi Vivian eeh unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako eeh unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye unachofanya sua sua hauko straight sua sua wacha mambo sua sua tafuta ya kwako uuuye
unachofanya sua sua
Similar Songs
More from Vivian (KE)
Listen to Vivian (KE) Sua Sua MP3 song. Sua Sua song from album Sua Sua is released in 2016. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Vivian (KE).
Related Tags: Sua Sua, Sua Sua song, Sua Sua MP3 song, Sua Sua MP3, download Sua Sua song, Sua Sua song, Sua Sua Sua Sua song, Sua Sua song by Vivian (KE), Sua Sua song download, download Sua Sua MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Roakeyo
really nice music. Vivian has a melodius voice