![Shida Pt 1& 2](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/52/60/rBEeMVn4Q8eAQCCxAABhUoACfv8802.jpg)
Shida Pt 1& 2
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:1970
Lyrics
Shida Pt 1& 2 - Mbaraka Mwinshehe
...
Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi
Si mtoto wala mkubwa wote shida
Kila siku shida shida haiishi mpaka siku ya mwisho.
Shida kamwe haikosekani hata kama siku ya harusi
Na uwe na mapesa mengi ipo shida
Haina ngoja wala haibu popote shida hutokeza
Kwa masikini matajiri wote shida
Kila siku shida shida haiishi mpaka siku ya mwisho.
Similar Songs
More from Mbaraka Mwinshehe
Listen to Mbaraka Mwinshehe Shida Pt 1& 2 MP3 song. Shida Pt 1& 2 song from album Shida is released in 1970. The duration of song is 00:07:49. The song is sung by Mbaraka Mwinshehe.
Related Tags: Shida Pt 1& 2, Shida Pt 1& 2 song, Shida Pt 1& 2 MP3 song, Shida Pt 1& 2 MP3, download Shida Pt 1& 2 song, Shida Pt 1& 2 song, Shida Shida Pt 1& 2 song, Shida Pt 1& 2 song by Mbaraka Mwinshehe, Shida Pt 1& 2 song download, download Shida Pt 1& 2 MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Zaxony GM'n0bvu
king rich boe
pumzka kwa Amani Mzee wetu 2024
ossein milton
nyimbo nzuri sana zenye mawaidha na mafunzo
Almasi Brantan
wakubwa tu ndo tunaelewa
issaiah80
26.09.2022
Gem connoisseur
shidaaaaa
Ally Msuyadxee0
oooooh shida
Advocate Chacha
God put U at stake father...loving U the best Daddy
beyb man23
I wish ningezaliwa miaka hii ilove u dis song
Ahmedkhan San Khan Hassanan
enzi zetu hizo
Bobb04ff
educative and very encouraging song
kazi nzuri nipo nasikiliza. Leo tarehe 30/08/2024