
Anamelemeta ft. Man Mozu
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Anamelemeta ft. Man Mozu - Rupande
...
Nana nana nana nanaaa EzeEze aiyeeee Rupande na man mozu (Verse1)Amani upendo sifa na malengo kwa mora wangu maulana kwa kuziba pengo natimiza lengo naamini hatutoachana alelelelee suti na shela tupendeze na keki tumeze wenye chuki nawewe wapotezee tuucheze kwa pamoja special my heart nguzo mimi nawewe letu moja ooh baby wa,stahili tuzo nimekubali we ndo hodari nipe basi tamu langu wape habari we ndo sukari nikulambe pekeyangu ooh ooh ooh ooh ooh ooh baridini nataka nikufanye shuka unipe madini nishituke kumekucha my sweet ooh my baby ooh nikichoka menzako nibebe my baby ooh my sweet oooh(Chorse)Alele alele alele anamelemeta alele alele alele anamelemetaa mmh oooh mozu (Verse2)Kamati mtupikie kama kuna bia leta tulewe ringa cheza kwa madaha zawadi baby tutakupa wewe kama kuna kadi na zawadi njoo tutunze eeh kama kunavumbi mwaga maji njoo turukee tengeni duara mambo yakwende ewala aa ikibidi waonee mambo ya zanzibar mimi kwetu ni bara hatuvuki bahari beib umekitawala kisima cha moyo bibe ooh ooh ooh ooh ooh baridini nataka nikufanye shuka unipe madini nishituke kumekucha my baby ooh my sweet ooh nikichoka menzako nibebe my baby ooh my sweet oooh(Chorse)"Alele alele alele anamelemeta alele alele alele anamelemetaa Alele alele alele tunamelemeta alele alele alele tumevuka mitoo
Similar Songs
Listen to Rupande Anamelemeta ft. Man Mozu MP3 song. Anamelemeta ft. Man Mozu song from album Anamelemeta is released in 2023. The duration of song is 00:03:17. The song is sung by Rupande.
Related Tags: Anamelemeta ft. Man Mozu, Anamelemeta ft. Man Mozu song, Anamelemeta ft. Man Mozu MP3 song, Anamelemeta ft. Man Mozu MP3, download Anamelemeta ft. Man Mozu song, Anamelemeta ft. Man Mozu song, Anamelemeta Anamelemeta ft. Man Mozu song, Anamelemeta ft. Man Mozu song by Rupande, Anamelemeta ft. Man Mozu song download, download Anamelemeta ft. Man Mozu MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
freeman minja
amadchuse
nakubali mzee ngoma inabamba
freeman minja
fire
nakubali