- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
You and I - Chris_michael1
...
mimi naomba unipe nafasi sitapoteza sitakugasii wazi napokea masharti natekeleza mimi ni mfuasii ukishuka chini mimi napanda juu yoo mamiyoo ukitabasamu shida kitu gani yoo mamiyoo nakuita selina jaribu tujuane now karibu nyumbani ushanijua majina utanijua kwa kina karibu tufanye ukitabasamu shida kitu gani yoo mamiyoo nitakuita my woman nakuita uwe woman take my wife to be iiii if god agree iiii mimi niwako nipokee leo mimi niwakooh niwe wako nipokee leo niwe wakooh you u you u you u and i you u you u and i you u you u and i nitakubebea babee mizigo yako itue kwamimi nilimuomba mungu na ika jibu heeeri namuona mrembo mwenye upendo ukarimu wako utu wako mtoto wa mtuuuh sura yako moyo wako kwa mama yako naona wamekuadabisha sa ndo nakuambia kabisa fungu la moyo wako nipooh me nakufuta machozi sote see hatujakamilika selina eeh fungu la moyo wangu upooh weeh wakunifuta machozi ukitabasamu shida kitu gani yoo mamiyoo ntakuita my woman nakuita uwe woman take my wife to be iii if god agree iii mimi niwako nipokee leo mimi ni wakooh niwe wakooh nipokee leo niwe wakooh you uuh you uuh and i you uuh you u and i you uuh you uuh and i ukitabasamu shida kitu gani yoo mamiyoo nitakuita my woman nakuita uwe woman take my wife to be iii if god agree iii na whoo big man like big
Similar Songs
Listen to Chris_michael1 You and I MP3 song. You and I song from album Who,What (Me & Situation) is released in 2023. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by Chris_michael1.
Related Tags: You and I, You and I song, You and I MP3 song, You and I MP3, download You and I song, You and I song, Who,What (Me & Situation) You and I song, You and I song by Chris_michael1, You and I song download, download You and I MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Stavo_Boi
158196348
You and I is on firee
favourite