
Yesu ni furaha yangu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Yesu ni furaha yangu - Papi Clever & Dorcas
...
1.Yesu ni furaha yangu, amejaa pendo kweli.
Anaweza kusimika kila mwenye udhaifu.
( Ananipa ujasiri, nguvu, raha na faraja.Hata nikionja kufa, Yesu ni mchunga wangu)×2
2.Nimefungwa na Mwokozi kwa kifungu cha upendo.
Hata kufa hakuwezi kunitenga naye Yesu.
(Mimi wake siku zote, ninataka kumtii. Kwa neema nimepona, nisitumikie dhambi)×2
3.Kwa mikono ya upendo ninakumbatiwa naye.
Sitaweza kutafsiri pendo lake kubwa kwangu.
(Napokea nguvu yake, yanijaza moyo wangu, Yesu ananiongoza katika safari yangu)×2
(Yesu ananiongoza,katika safari yangu)×2
Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas Yesu ni furaha yangu MP3 song. Yesu ni furaha yangu song from album Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 is released in 2023. The duration of song is 00:04:02. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: Yesu ni furaha yangu, Yesu ni furaha yangu song, Yesu ni furaha yangu MP3 song, Yesu ni furaha yangu MP3, download Yesu ni furaha yangu song, Yesu ni furaha yangu song, Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 Yesu ni furaha yangu song, Yesu ni furaha yangu song by Papi Clever & Dorcas, Yesu ni furaha yangu song download, download Yesu ni furaha yangu MP3 song