![Kudadadeki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/09/4ef32c4f4ff746ff95581d61f6c60e1f_464_464.jpg)
Kudadadeki
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kudadadeki - Nay Wa Mitego
...
Hey watsup mapipo good morning
It's me again baba yaga amon
Leo sitaki kuimba mi nataka nichane
Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane
Eeh fuck hates coz hate for no lesson
Dua nyingi mrudi uraiani wanangu mlioko prison
Mi niko busy bwana life ndo inanipeleka mbio
Thamani ya mwanamke imehamia kwenye kalio
Huna tako huna soko utapendwa na mamaako
Wanaume tunapungua tu wanaongezeka machoko
see lyrics >>Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Kudadadeki MP3 song. Kudadadeki song from album Kudadadeki is released in 2023. The duration of song is 00:03:43. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Kudadadeki, Kudadadeki song, Kudadadeki MP3 song, Kudadadeki MP3, download Kudadadeki song, Kudadadeki song, Kudadadeki Kudadadeki song, Kudadadeki song by Nay Wa Mitego, Kudadadeki song download, download Kudadadeki MP3 song
Comments (37)
New Comments(37)
fei6cui
Ramadhani Zidadu
nakubali mwamba kweli unayo mengi ya kusema
prince tzj5iid
ku***ke hii ngoma nikali kinoma
yusuph Abdallah@45
rais wa kitaaa respect
Josee Jomtv
kama nawaona waliosuka ....... kudadadekiiiii...
158309641
walee wanangu tusio na mpango wakuoa tuungane na rais wa kitaa ney
Abbas Abdallahkdoio
walee wanangu tusio na mpango wakuoa tuungane na rais wa kitaa ney
Radii 360
unyama ni mwing prezidar
kiibinda
ila ney ni mnyama, gonga like kwa presidaa
manie charles
makini sana KAMANDA mkwaju mkaliiiiiii
Duskaxvj9d
mwaka huu ney niatari sana
kamanda ✊✊