![Ametenda Zaidi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/03/45843b63ffca4a41a0b60e5fed70f660_464_464.jpg)
Ametenda Zaidi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ametenda Zaidi - Kambua
...
toka mwanzo nlijua Mungu atafanya sababu najuua ashindwi, ila nilidhani Mungu atafaanya sawa sawa na mawazo yaangu, kumbe ninavyoowaza ni tofauti na Mungu anavyo niwaziaa, leo amenishagaza Bwana,amefanya zaidi ya nilivyowaza, CHORUS ( baraka,kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko. watoto kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko. afya,kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko) ametenda zaidi ya nilivyo omba, bwana amenipa kiiicheko, ametenda zaidi ya mawazo yangu,bwana amenipa kiiicheko, BACK TO CHORUS. anasema anajua ninayoitaji,aaata kabla sijaombaaah, kuna vitu ninadhani siitaji,hila yeye anajua ninahitaji, nikimwonba mkate ananipa na maji,anajua nitapata kiu tu, nisiyo yajua,yeye anayajua,atakama ni mambo madogo tu, maitaji yangu leoooooh(leo) maitaji yangu keshoooh(keshoo) leo amenishagaza Bwana, amefanya zaidi ya nilivyowaza, ( ametenda zaidi ya akili yangu, bwana amenipa kicheko, ametenda zaidi ya mawazo yangu, bwana amenipa kicheko,)×2 BACK TO CHORUS..
Similar Songs
More from Kambua
Listen to Kambua Ametenda Zaidi MP3 song. Ametenda Zaidi song from album Ametenda Zaidi is released in 2023. The duration of song is 00:06:15. The song is sung by Kambua.
Related Tags: Ametenda Zaidi, Ametenda Zaidi song, Ametenda Zaidi MP3 song, Ametenda Zaidi MP3, download Ametenda Zaidi song, Ametenda Zaidi song, Ametenda Zaidi Ametenda Zaidi song, Ametenda Zaidi song by Kambua, Ametenda Zaidi song download, download Ametenda Zaidi MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
Molly lowoioe3la
joyryl9i
[0x1f623][0x1f623][0x1f628][0x1f628]
Margaret Anyoso
such an amazing song it's a blessing to me...for real this song kambua sung it for me [0x1f60e]
Sheex123
Kambua's testimony is so amazing and so encouraging ....God bless her ministry
Flanzie
Amazing thanksgiving !!!
Emmanuel x215b
wooo......its amazing and I love it
105347330
[0x1f628]
such an amazing prayer Your song is blessing me, thank you
105347330
such an amazing prayer Your song is blessing me, thank you
Elvis Muchira
thank you kambua noce song and movitation
Winnie Wambui16c5l
[0x1f63e][0x1f60e]
melisaxbiuq
amen..
munaaqekk5
the song is more of a song...10/10
am blessed by this song