yatapita remix
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
yatapita remix - Shablizer
...
Yea it's your favourite voice from your boy Shablizer yatapita now it's official my mood yamepita mengi nyuma siwezi kurudi yatapita without smoking sigarate Leo matunzo kesho ntapata KAZI ya cheti living peace wote mlio tangulia yayapita maumivu Bado ,Bado tunaumia tunapiga hatua speed low kama Kobe so mbaya yatapita na sihitaji niloge japo tunaishi TU chini ya Dola Moja kwa siku oda moja kwa siku mlo mmoja Tena mboga moja baada ya KAZI Moja yatapita labda siku nikifika kituo Dua na Sala mkumbike ndio zangu funguo as we came from long way NO WAY kazi kubwa ila still low pay still no say still tunaamini yatapita i got no say AFRICAN SOUND MONEY has got power no one can fight against inanifanya nichane mbaya niskike west Hadi east no money no power no money no swts with money we get higher no money no ubaya pesa Ina roho mbaya sometime Ina roho nzuri bila pesa life baya without money no beauty your the reason be hind you makes life harder hakia kweli nimemind let's countibnue kuku chana yatapita baada ya kupush sana Ngoma kaa drug DER Kisha nipate fame apo ni sawa na timu kushinda tatu in my head igot a lot of dreams Sina habari na izo fake streams nshapiga mbizi Maji ya ugoko wape habari ma choko wape habari wanoko our tomorrow will shine more than to day
Similar Songs
More from Shablizer
Listen to Shablizer yatapita remix MP3 song. yatapita remix song from album yatapita remix is released in 2023. The duration of song is 00:02:09. The song is sung by Shablizer.
Related Tags: yatapita remix, yatapita remix song, yatapita remix MP3 song, yatapita remix MP3, download yatapita remix song, yatapita remix song, yatapita remix yatapita remix song, yatapita remix song by Shablizer, yatapita remix song download, download yatapita remix MP3 song