
Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi)
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) - Aloyce Kipangula
...
Nirudieni Mimi Lyrics (Lakini Hata Sasa) {Lakini hata sasa, asema Bwana Nirudieni mimi, kwa mioyo yenu yote } *2 Fanyeni mabadiliko mioyoni mwenu Kwa kufunga na kwa kulia na kwa kuomboleza Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote Pigeni tarumbeta huko Sayuni Wambieni watu wote ili wafunge Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote Kusanyeni watu wote waleteni kwangu Waleteni na watoto hata na wazee Nirudieni Mimi kwa mioyo yenu yote Mpingeni yule mwovu atawakimbia Nikaribieni nami nitawakaribia Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote Takaseni mikono yenu iliyojaa dhambi Safisheni mioyo yenu yenye nia mbili Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote
Similar Songs
Listen to Aloyce Kipangula Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) MP3 song. Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song from album Nimekosa Nihurumie is released in 2014. The duration of song is 00:05:44. The song is sung by Aloyce Kipangula.
Related Tags: Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi), Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song, Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) MP3 song, Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) MP3, download Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song, Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song, Nimekosa Nihurumie Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song, Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song by Aloyce Kipangula, Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) song download, download Lakini Hata Sasa (Nirudieni Mimi) MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Rose Ntawisha
yakoboulynl
amin
yakoboulynl
aman
154264453
I like this song
i like