- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Salamu Maria - Aloyce Kipangula
...
Salamu Maria Salamu,Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi utusaidie ee mama tuweze kufika kwako Salamu Maria Salamu Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi uwatulize wenye shida waweze kupata raha Salamu Maria Salamu Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi maishani utuongoze tuepukane na dhambi Salamu Maria Salamu Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi utuombee kwa mwanao tupate kufika mbinguni Salamu Maria Salamu Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi uwalinde na viongozi waeneze neno lako Salamu Maria Salamu Salamu bikira mama Maria mama wa mkombozi mama Maria umejaa neema nyingi .........
Similar Songs
Listen to Aloyce Kipangula Salamu Maria MP3 song. Salamu Maria song from album Ee Mama Yetu Maria (Nyimbo Za Bikira Maria) is released in 2022. The duration of song is 00:04:45. The song is sung by Aloyce Kipangula.
Related Tags: Salamu Maria, Salamu Maria song, Salamu Maria MP3 song, Salamu Maria MP3, download Salamu Maria song, Salamu Maria song, Ee Mama Yetu Maria (Nyimbo Za Bikira Maria) Salamu Maria song, Salamu Maria song by Aloyce Kipangula, Salamu Maria song download, download Salamu Maria MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
DigitalTv
Amen