
My Valentine
- Genre:C-Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
My Valentine - Maysix KE
...
MY VALENTINE Nakupa pole dear ex uliponiacha ,ulidhani ntafubaa ooh nitafubaa ona nilivyotakata ,napendeza nimeng'aa (nimeng'aa) Naogeshwa na maji Safii, Tena ya chupaa nalishwa vinyama laini laini ,silishwi mifupa Nayale majeraha, vile vidonda vimepona mie napewa Raha,sijakondaa nimenona hanishindishi njaaa, mapochopocho Kila Kona huyu mtoto balaa, na uwanjani maradonna bridge// Anavyo penda chocolate naviyoghurt nampaaa mi nifundi wa kupetipeti akiomba carrot mi nampaaa chorus/ she's my valentine who is your valentine? x4 verse 2// Kama sumaku , amenigandaganda (gaanda ganda) hapendi vya watu, anaridhika na ninachopata ashanivunja mbaawa, sirukiruki tena yeye ndo yangu dawa, maumivi yameisha pona hata robo haumfikiii hata uzuri kakuzidiii so beautiful she's beautiful pengo lako amefiti mchapakazi anabidii so wonderful bridge// Anavyo penda chocolate naviyoghurt nampaaa mi nifundi wa kupetipeti akiomba carrot mi nampaaa chorus/ she's my valentine Oooh valentine who is your valentine? x4 Aaaah Vale valentine Leo tu furahi Vale valentine Twende zetu outing Vale valentine Vacation Dubai Ama Mombasa
Similar Songs
Listen to Maysix KE My Valentine MP3 song. My Valentine song from album My Valentine is released in 2023. The duration of song is 00:03:08. The song is sung by Maysix KE.
Related Tags: My Valentine, My Valentine song, My Valentine MP3 song, My Valentine MP3, download My Valentine song, My Valentine song, My Valentine My Valentine song, My Valentine song by Maysix KE, My Valentine song download, download My Valentine MP3 song