![Mchuma Janga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/11/665693eac0f34e9db7dff2cd6c8f3e82_464_464.jpg)
Mchuma Janga
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mchuma Janga - Linex
...
yeah the VOA Samahan yangu inamaanisha maana halisi ya mkosaji anaeomba msamaha na pia nina majuto ya mengi niliyokutendea ungenivumilia mara ngapi labda mwenzetu unajiwe hauna moyo ndio maana ninakukosea chorus mchuma janga hula na wakwao mapenzi yetu yakafika mwisho subira labda isingekuponza ingeleta heri isingekua shari japoo ulishika mpini nkashika makali, jua lisichwee ingali bado unauchungu hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu leo tungekua wapi ningekuonesha upendo my love×2 ni kama nimekumbuka shuka kumekucha mwana mpotevu, yalikuwa ni mapungufu tu ya kibinadamu nikajikweza na kujisifu nikapata anguko la kiuchumi nikiwa sipo tena mikononi mwako chorus mchuma janga hula na wakwao mapenzi yetu yakafika mwisho subira labda isingekuponza ingeleta heri isingekua shari japoo ulishika mpini nkashika makali, jua lisichwee ingali bado unauchungu hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu leo tungekua wapi ningekuonesha upendo my love×2 umevumilia mara ngapi labda mwenzetu unajiwe huna moyo ndio maana nmekukosea
Similar Songs
More from Linex
Listen to Linex Mchuma Janga MP3 song. Mchuma Janga song from album Mchuma Janga is released in 2023. The duration of song is 00:03:20. The song is sung by Linex.
Related Tags: Mchuma Janga, Mchuma Janga song, Mchuma Janga MP3 song, Mchuma Janga MP3, download Mchuma Janga song, Mchuma Janga song, Mchuma Janga Mchuma Janga song, Mchuma Janga song by Linex, Mchuma Janga song download, download Mchuma Janga MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
ismakas
Elibariki h34zt
Unyama sana humu tena uwe na dundo geto la kushiba ✊
Leonard 66blv
Noma sana
kiibinda
kama wewe ni shabiki wa linex gonga like hapa
kiibinda
mjeda
mtu mwenye vocal sijawahiona, gonga like kama wewe ni shabiki wa linex sunday (mjenga)
kiibinda
mtu mwenye vocal sijawahiona, gonga like kama wewe ni shabiki wa linex sunday (mjenga)
the vocalist[0x1f623][0x1f623][0x1f623]