My Life
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
My Life - Mackdizzo
...
vinoxs record mackdizzo. "I want to change all my life," "I want to change all my life," " I want to change all my life", " I want to change all my life," nilijua Niki gro up life itakua ezzy sai Niko mta nikupiga tu madili umasikini sasa kwangu ndo umenivali bikini hivi nilini nami nitakua tajiri hama ndo uhai wangu umetekwa namajini mahana Kila Niki ngangana naona nikama nafia majini ama umasikini wangu nilipo fika mji ivi mgu Yuko wapi Mimi hujiuliza maswali baba na mama walianza kitambo kusali hama badala yabaraka wao walipata na thambi nahalie tulani hivi Yuko wapi. Alisha kufa ama Yuko hai nilini baba nae atamea kitambi mahana akifunga tai inaka tu tambi Dunia itakuchekesha hatakama mwenyewe uchekeshangi. ndo mahana Mimi hua nakashagi Nilisha sukuma palipa FUTA ila sikujali mwendo Bado natafuta (hahahah) naona Giza ila patakucha (hahaha) Bado natafuta mie "I want to change all my life," "I want to change all my life," " I want to change all my life", " I want to change all my life," lakini sitakata Tama huku nitazidi kujikaza familia tayari walisha tutenga nilibakini nawazazi na wadogo wangu nikikumbukanga Mimi hua nalia (haii) lakini haya nimaisha Yana paswa kuvumilia ndoto zangu nikama zulifungiwa mpaka Nairobi nao maisha nikung'ang'ana ukianza wizi nao gerezani utajipata ama mbinguni ukipatana na piter haya nimaisha yote yatapita mibado mdogo sifai Kula sana Kila mta ukipita sim yangu sim yangu wemama Wacha ujinga Wacha Kuni change navenye naka "I want to change all my life," "I want to change all my life," " I want to change all my life", " I want to change all my life," Nilisha sukuma palipa FUTA ila sikujali mwendo Bado natafuta (hahahah) naona Giza ila patakucha (hahaha) Bado natafuta mie "I want to change all my life," "I want to change all my life," " I want to change all my life", " I want to change all my life,"
Similar Songs
More from Mackdizzo
Listen to Mackdizzo My Life MP3 song. My Life song from album My Life is released in 2023. The duration of song is 00:03:20. The song is sung by Mackdizzo.
Related Tags: My Life, My Life song, My Life MP3 song, My Life MP3, download My Life song, My Life song, My Life My Life song, My Life song by Mackdizzo, My Life song download, download My Life MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Raster Man0x49a
Prissy…
Nice song
mackdizzo.
nice songs
mackdzokenyamusc
thanks bro nashukuru
Davis Nyachotif2ep4
hii imeweza mbaya
mackdzokenyamusc
i think is nice song
nice one