![Furaha](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/03/b251d939c8034b1fb7861026a300ee44_464_464.jpg)
Furaha
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
Lyrics
Furaha - Oxrhymes
...
Nyumbani nafunga rubega, Mtani vigoma nacheza, nacheza we: Ukweli twashindwaga sema, Mbali twashindwa kuona, Bahari yazidi kushona, Mwali kushindwa kudeka, Wageni wametuteka, Zamani tuliwapenda kweli, Tungali peke, Tusibaki upweke, Ubani pete, Tubaki wote na furaha, Na furaha, tubaki na furaha Na furaha, tubaki na furaha. Hadithi zetu ee, Watu wetu we, Kivi wapotee, Zawadi tupokee, Tamaduni zetu, Asili yetu, Na watu wetu, madini yapotee Yapotee. "Jitihada yangu, Ilikua ni kushawishi nchi za AFRICA Mashariki zote; Kenya, Uganda na Tanganyika na Zanzibar, tuungane tuwe nchi moja" ~J.K NYERERE Tungali peke, Tusibaki upweke, Ubani pete, Tubaki wote na furaha, Na furaha, tubaki na furaha Na furaha, tubaki na furaha.
Similar Songs
More from Oxrhymes
Listen to Oxrhymes Furaha MP3 song. Furaha song from album Furaha is released in 2023. The duration of song is 00:02:51. The song is sung by Oxrhymes.
Related Tags: Furaha, Furaha song, Furaha MP3 song, Furaha MP3, download Furaha song, Furaha song, Furaha Furaha song, Furaha song by Oxrhymes, Furaha song download, download Furaha MP3 song