![Hakuna Jipya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/01/05b6a3da87f446a388cd8a0771b778ea_464_464.jpg)
Hakuna Jipya
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Hakuna jipya taarab - sabah salum
Mkombozi Records
Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale
Afanyalo jipya dunia ni ile ile
Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale
Afanyalo jipya dunia ni ile ile
Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii
Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingizi
Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii
Ooohhhhhh
Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingiziii
Ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi
see lyrics >>Similar Songs
More from Sabah Salum
Listen to Sabah Salum Hakuna Jipya MP3 song. Hakuna Jipya song from album Hakuna Jipya is released in 2023. The duration of song is 00:06:59. The song is sung by Sabah Salum.
Related Tags: Hakuna Jipya, Hakuna Jipya song, Hakuna Jipya MP3 song, Hakuna Jipya MP3, download Hakuna Jipya song, Hakuna Jipya song, Hakuna Jipya Hakuna Jipya song, Hakuna Jipya song by Sabah Salum, Hakuna Jipya song download, download Hakuna Jipya MP3 song