Nipo Njiani
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nipo Njiani - Panishee Mdudu
...
npo njiani napokwenda sipajui napotok najihami na utenda wa simba chui maaudui wametanda misili ya wingu amana iliyotangulia wamepanda chini ya mbingu ninapingu mikono imefungwa na sina kosa nlowakosha wamenitosa mapema na sina kosa najitajasa kwanza mateso yatalipa anasa nifika ngazi ya kwnz na kesho najitangaza mbele sioni sjui pembezon na nyuma kiza kelele azikomi auzani itabuma visa nakwenda meng nimetenda nyuma pazia la mbele maisha yakanpga chenga chuma nikazuia kapele lipa usepe kam bele 9 anaenizika nampa chepe mi sina kwere nae taa tunazotumia zinamwanga hafifu itakua vigumu kuona njia ndani ya mwamba hifu
Similar Songs
More from Panishit
Listen to Panishit Nipo Njiani MP3 song. Nipo Njiani song from album Nipo Njiani is released in 2021. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Panishit.
Related Tags: Nipo Njiani, Nipo Njiani song, Nipo Njiani MP3 song, Nipo Njiani MP3, download Nipo Njiani song, Nipo Njiani song, Nipo Njiani Nipo Njiani song, Nipo Njiani song by Panishit, Nipo Njiani song download, download Nipo Njiani MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
Panishit
biggest street hit of all time
131133303
biggest street hit of all time
131133303
Street King
kaymarjr
kaymarjr
Panishit Maradhi
hiphopsanalab
[0x1f627][0x1f627][0x1f627]
hiphopsanalab
hiphopsanalab
hiphopsanalab
Panishit [0x1f627][0x1f627][0x1f627][0x1f627]
mikatoqa0wy
hot song bruv
mikatoqa0wy
nipo njiani
Bless