Dhambi inatesa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu kamuumba Adamukamweka edeni ili atawale
akampa msaidizi Hawa wailinde na kuitunza Edeni
(bila dhambi ni furaha ,kila kitu ni faraja aah simba alicheza na swala maisha kabla ya dhambi)x2
chorus
Dhambii inatesa,dhambi inaua x2
Dhambi itakupa raha kwa mda kitambox2
Shetani mwenye hira kaingia edeni,
kamdanganya Hawa wale lile tunda aah la ujuzi wa mema na mabaya
eti wawe sawa na Mungu wao ,
(tunda lile lavutia ,lapendeza macho ooh Hawa akalichukua kala kampa na mumewe)x2
see lyrics >>Similar Songs
More from Falles Tagaya
Listen to Falles Tagaya Dhambi inatesa MP3 song. Dhambi inatesa song from album Dhambi inatesa is released in 2023. The duration of song is 00:04:24. The song is sung by Falles Tagaya.
Related Tags: Dhambi inatesa, Dhambi inatesa song, Dhambi inatesa MP3 song, Dhambi inatesa MP3, download Dhambi inatesa song, Dhambi inatesa song, Dhambi inatesa Dhambi inatesa song, Dhambi inatesa song by Falles Tagaya, Dhambi inatesa song download, download Dhambi inatesa MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Brown Benn
pigup mzeee