![Haiwezekani](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/17/071ac8f586c24213b1ab35d6f1ad08e8_464_464.jpg)
Haiwezekani
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Haiwezekani - B2K Mnyama
...
Anhaaa Star beat boy The bad number Anhaaa aah...! Mmmh Najiono mimi nina bahati ya kupendwa Najiona nimepata pumziko hakuna kwa kwenda Najiona kazi nimeimaliza ya kupenda Waambie umepata pumziko wa kula na kwenda anhaa...! Ni chemshe chai we ndio upike mchana Kama unavyo jua kazi kusaidiana Tuwe marafiki wale wanaogombana Sisi sio shida zetu Pika chukuchuku wao wa pike nyama Ratiba zetu sio za kufanana Tule vitamu kama wao bwana Sisi tuna ratiba zetu sawaa.. Wanatamani upendo uishiage katikati Sawaa... Ndio kwanza mambo yanazidi taradadi yoo... Sawaa... Tukae kimanga wao wawe katikati ya jiji Sawaa.. Piga kipara achana na fashion za wigi Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Aaah... Onanaah... Onanaah Naah... Aaah... Babe nitakupa vyote ukitaka moyo beba Oooh beba Yani hawatusumbui hata mtaa huwote beba Au unataka nikuongeze mali hata hii dunia beba Oooh beba... Yani mi nipo ngangali yanifanya utacho penda Ukitaka nikuogeshe babe unasema Niwe nawee... Panga ratiba ata iwe kazi ndani nitafanya Niwe nawe Ukitaka nikuogeshe babe unasema Niwe nawee... Panga ratiba ata iwe kazi ndani nitafanya dear Niwe nawe Aaaaah aah... Sawaa.. Wanatamani upendo uishiage katikati Sawaa... Ndio kwanza mambo yanazidi taradadi yoo... Sawaa... Tukae kimanga wao wawe katikati ya jiji Sawaa.. Piga kipara achana na fashion za wigi Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo Haiwezekani Nipigwe na baridi eti kisa nimekuacha wewe Haiwezekani Na hivyo nyuma umechorwa we ndio ulimaliza Udongo... @avenyaclassic.
Similar Songs
More from B2K Mnyama
Listen to B2K Mnyama Haiwezekani MP3 song. Haiwezekani song from album Haiwezekani is released in 2023. The duration of song is 00:03:51. The song is sung by B2K Mnyama.
Related Tags: Haiwezekani, Haiwezekani song, Haiwezekani MP3 song, Haiwezekani MP3, download Haiwezekani song, Haiwezekani song, Haiwezekani Haiwezekani song, Haiwezekani song by B2K Mnyama, Haiwezekani song download, download Haiwezekani MP3 song
Comments (44)
New Comments(44)
Habiri Disimasi
chuguRobby
unyama sana
168223988
nishabiki ako nakubali san huna kazi mbov
Efeso Deo
[0x1f636][0x1f636]
Renato Riziki
alikua anapangia wapi bro
hauna baya b2k unyama sana nilikua nakuonaga unavopanga nyanya alafu ela unapeleka studio watu walikua wanakuona kama mjinga flan lkn ulikua unajua nn unafanya hatimaye leo nakuona mkubwa sana hujawah kuharib
George6v18s
We jamaa nakuona mbaliiiii sanaaaaa
xboy 255
nice [0x1f652]
Eliasnwxwj
Unyamaaaa unyamaaan bong la ngoma
155416674
[0x1f631]
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/18/bcc649c488d541f3aa54e940f18d1f4e.jpg)
phyntan
hii ni ngoma kubwa sana hua sifatilii sana miziki yako ila hii leo nimerudia mara 100 na nimetuma kwa niwapendao sababu ujumbe uliopo ndio uharisia wa maisha yetu wengi, nakujua toka enzi za edo kipindi hio kule ebony fm,2009 kama skosei
focus c8od5
sna cha kukdai kaka umeuaaaaa sanaaaaa
Wiliam Mkula
hauna baya b2k unyama sana nilikua nakuonaga unavopanga nyanya alafu ela unapeleka studio watu walikua wanakuona kama mjinga flan lkn ulikua unajua nn unafanya hatimaye leo nakuona mkubwa sana hujawah kuharib
B2K nakubal