- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2014
Lyrics
Subira - Malika (KE)
...
kiri moyo wangu kiri hebu wacha kusonona
nema na ovu kujiri hili kwa waja ni sana
shetwani asikuburi ingawa dhiki naona
subiri moyo subiri, lisilo mwisho hakuna
isiwe unanikera moyo usinikiriri
jilazimishe Subira, subira huvuta kheri
Similar Songs
More from Malika (KE)
Listen to Malika (KE) Subira MP3 song. Subira song from album Malika Vol 10 is released in 2014. The duration of song is 00:10:19. The song is sung by Malika (KE).
Related Tags: Subira, Subira song, Subira MP3 song, Subira MP3, download Subira song, Subira song, Malika Vol 10 Subira song, Subira song by Malika (KE), Subira song download, download Subira MP3 song