WIFE MATERIAL
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
WIFE MATERIAL - Mwana Asili Mkenya
...
intro. viseriohus, asili, amba nzelle thuwee.. verse 1. nataka dem yule hakulagi fare, nataka dem haitishi za kutolea, kienyeji anaridhika na ninachompea, nataka dem yule hatumii mbolea. wife material hajui tiktok, wife material hajui snapchat, wife material hua ana gap kwa meno, wife material hajawai kuforce dimple. sitaki dem yule ameshape dera, sitaki dem mwenye amevaa kikuku, sitaki dem eti ametoboa mapuaa, kienyeji mambo yaa makeup hapana. kanisani asiwe kwa church choir, naogopa drumer na keybordist, hao hukua mafisi.... wakienda kesha two hours missing. CHORUS. wife material, mi natafuta wife material, wife material, sitaki onja onja nataka wife material. X2 VERSE 2. ni long time nimekua nikitisk, nimeamua sa nioe nirelax, maslay queen wangrniua na stress, nilipenda kamoja kumbe ni project ya ex. waaah na vile vina vitisho, utaskia mahari yangu mi ni million, na wote ni used, bora niende bamba nikwachue mali safi. kienyeji, eeee kienyeji, hajawai ata kukata maji ma born town hao hawajui kupika, hawana kitu hata bed v'ehuluka.. CHORUS wife material, mi natafuta wife material, wife material sitaki onja onja nataka wife material X2
Similar Songs
More from Mwana Asili Mkenya
Listen to Mwana Asili Mkenya WIFE MATERIAL MP3 song. WIFE MATERIAL song from album WIFE MATERIAL is released in 2023. The duration of song is 00:02:29. The song is sung by Mwana Asili Mkenya.
Related Tags: WIFE MATERIAL, WIFE MATERIAL song, WIFE MATERIAL MP3 song, WIFE MATERIAL MP3, download WIFE MATERIAL song, WIFE MATERIAL song, WIFE MATERIAL WIFE MATERIAL song, WIFE MATERIAL song by Mwana Asili Mkenya, WIFE MATERIAL song download, download WIFE MATERIAL MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
BADMAN TONYLEE
Milton_Mkali
kali sana[0x1f621][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
mangy
nice music, congratulations rilamu
fitii
swari kaka. vitu natural ndio best [0x1f641]
aminia
noma sana Kaka message na beat ziko bahali yake
Montannazxhk5
noma sana Kaka message na beat ziko bahali yake
charlesy karisa
swari kaka. vitu natural ndio best [0x1f641]
amba nzelle thu ..