Furahini
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Furahini - Ndugu Elvis
...
Furahini katika Bwana.. twende sasa Furahini katika Bwana siku zote upole wenu naujulikane haja zenu zijulikane kwake Baba ni mwaminifu anawajali Furahini katika Bwana siku zote upole wenu naujulikane haja zenu zijulikane kwake Baba ni mwaminifu anawajali Ninayo furaha aa ninayo furaha furaha ya Bwana ni nguvu yangu ooo Furaha ya Bwana ni nguvu yangu nitafurahia wokovu wangu Furaha ya Bwana ni nguvu yangu nitafurahia wokovu wangu Msijisumbue kwa neno lolote sasa ila kwa kuomba na kushukuru na amani inayopita fahamu zote itatawala akili na mioyo. Msijisumbue kwa neno lolote sasa ila kwa kuomba na kushukuru na amani inayopita fahamu zote itatawala akili na mioyo. Ninayo furaha aa ninayo furaha furaha ya Bwana ni nguvu yangu ooo Furaha ya Bwana ni nguvu yangu nitafurahia wokovu wangu Furaha ya Bwana ni nguvu yangu nitafurahia wokovu wangu Furaha ya Bwana nguvu yangu Furaha ya Bwana nguvu yangu Mimi nitafurahia wokovu Furaha ya Bwana nguvu yangu Wo le le le le lee le Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae Nina furaha Furaha ya Bwana nguvu yangu Furaha ya Bwana nguvu yangu Mimi nitafurahia wokovu Furaha ya Bwana nguvu yangu Ye le le le lee le Furaha ya Bwana nguvu yangu Baba mama jifurahishe kwake Furaha ya Bwana nguvu yangu Naye atakupa haja za moyoo Furaha ya Bwana nguvu yangu Kaka dada jifurahishe kwake Furaha ya Bwana nguvu yangu Naye atakupa haja za moyoo Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae imba ee Furaha ya Bwana nguvu yangu Oo oo cheza ee Furaha ya Bwana nguvu yangu Askari wote waimbe Furaha ya Bwana nguvu yangu Walimu wote waimbe Furaha ya Bwana nguvu yangu Daktari nao waimbe Furaha ya Bwana nguvu yangu Hata boda boda hebu furahi Furaha ya Bwana nguvu yangu Eehee imba ee Furaha ya Bwana nguvu yangu Yo le le le yo le le le Furaha ya Bwana nguvu yangu Aya ya ya ya ya Furaha ya Bwana nguvu yangu Furaha furaha ya Bwana ee Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae imba wewe Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae cheza wewe Furaha ya Bwana nguvu yangu Baba mama jifurahishe kwake Furaha ya Bwana nguvu yangu Naye atakupa haja za moyo wako Furaha ya Bwana nguvu yangu Kaka dada jifurahishe kwake Furaha ya Bwana nguvu yangu Naye atakupa haja za moyo wako Furaha ya Bwana nguvu yangu Eee eee ye lelee Furaha ya Bwana nguvu yangu Oo oo le le lee Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae cheza wewe Furaha ya Bwana nguvu yangu Ae ae imba wewee Furaha ya Bwana nguvu yangu Lelelee lelelee lalalaa aaa aaa Furaha ya Bwana nguvu yangu
Similar Songs
More from Ndugu Elvis
Listen to Ndugu Elvis Furahini MP3 song. Furahini song from album Furahini is released in 2024. The duration of song is 00:06:46. The song is sung by Ndugu Elvis.
Related Tags: Furahini, Furahini song, Furahini MP3 song, Furahini MP3, download Furahini song, Furahini song, Furahini Furahini song, Furahini song by Ndugu Elvis, Furahini song download, download Furahini MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Ndugu Elvisbo5y7
This is a good one! A good beginning.