![Manyanga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/20/6507f7d36f3d46e4a59a6348168158e9_464_464.jpg)
Manyanga
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2023
Lyrics
Manyanga - Lgc Flavours
...
Nikiyaevalueti maisha yangu ni mitihani, Ina maswali mengi jamani tasahihisha nani... Mganga eehh, naomba nifanyie manyanga Niganguee, naomba nifanyie manyanga Mganga eehh, naomba nifanyie manyanga Niganguee, naomba nifanyie manyanga Ahh mie nilizawa kwa utata, maisha yangu ni matata Hata elimu sijapata, kutwa kucha mi ninajuta Maana kitabu changu, cha riziki Kilishaibiwa, kikasomwa Na jirani yangu, akarithi Fanaka zangu.. Ndipo ninachotaka, nigangue Ile nyota yake, nikaile Na baraka zake, nikwachue Nitabasamu mmmhhhh.... Mganga eehh, naomba nifanyie manyanga Niganguee, naomba nifanyie manyanga Mganga eehh, naomba nifanyie manyanga Niganguee, naomba nifanyie manyanga Naona mwenzangu walia, hebu shika kiti kalia Mie shupavu tulia, ukitoka huku tulia Naona mwenzangu walia, hebu shika kiti kalia Mie shupavu tulia, ukitoka huku tulia Hizi tunguli zangu ningepiga, nyota ya kwake ningekupa Ungeikula na kushiba ilaaaa, mmmmhhhh Ninavyohisi tofauti, mwenzangu unacho kibali Na sasa ninachohitaji, unifanyie ni MAOMBI mimi.... Mmbarikiwaa, naomba nifanyie MAOMBI Mmbarikiwaa, chiotaka nifanyie MAOMBI Mmbarikiwaa, naomba nifanyie MAOMBI Mmbarikiwaa, chiotaka nifanyie MAOMBI Ninavyohisi tofauti, mwenzangu unacho kibali Na sasa ninachohitaji, unifanyie ni MAOMBI mimi.... Mganga eehh, naomba nifanyie manyanga Niganguee, naomba nifanyie manyanga Mmbarikiwaa, naomba nifanyie MAOMBI Mmbarikiwaa, chiotaka nifanyie MAOMBI Nikiyaevalueti maisha yangu ni mitihani, Ina maswali mengi jamani tasahihisha nani...
Similar Songs
More from Lgc Flavours
Listen to Lgc Flavours Manyanga MP3 song. Manyanga song from album Manyanga is released in 2023. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Lgc Flavours.
Related Tags: Manyanga, Manyanga song, Manyanga MP3 song, Manyanga MP3, download Manyanga song, Manyanga song, Manyanga Manyanga song, Manyanga song by Lgc Flavours, Manyanga song download, download Manyanga MP3 song