Wa Yesu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Wa Yesu - David Wonder
...
,,,,,,,,,,,, DAVID WONDER juzi nilipanda matatu inacheza gospel reggae na karibu nusu ya watu naona zimewakuachu kando yangu watu watatu wanauliza mbona uzipendi nikawaambia sio kupenda kwangu mih husikiza mziki wa yesu tu huuu! wakasema usijiconfuse ukatrouble use jina la yesu ukalimiss use acha nikupe good news tumeokoka just like you wanasema oohh oooh sisi pia ni wa yesu oohh oooh sisi pia ni wa yesu sisi ni wa yesu *4 papapapa parirararara sisi ni wa yesu warasta wanapendana wasalimiana yes rasta (yes rasta) na sisi tunapendana tunasema asifiwe bwana lakini mtu anavyokaa haimanishi kwamba hawezi kakuwa mtumishi mtu anavyokaa haimanishi ooooooh labda anajuwa yesu kukushida na akisema ameokoka wewe utapiga na labda anajuwa yesu ndio kinga na akisema ameokoka utapiga wakasema usijiconfuse ukatrouble use jina la yesu ukalimiss use acha nikupe good news tumeokoka just like you wanasema oohh oooh ata sisi pia ni wa yesu oohh oooh sisi pia ni wa yesu sisi ni wa yesu*4 warasta wanapendana wasalimiana yes rasta (yes rasta) na sisi tunapendana tunasema asifiwe bwana labda anajuwa yesu kukushida na akisema ameokoka wewe utapiga na labda anajuwa yesu ndio kinga na akisema ameokoka wewe utapiga wanasema oohh oooh ata sisi pia ni wa yesu oohh oooh sisi pia ni wa yesu sisi ni wa yesu*4 BY walase01
Similar Songs
More from David Wonder
Listen to David Wonder Wa Yesu MP3 song. Wa Yesu song from album Mwanzo is released in 2022. The duration of song is 00:03:38. The song is sung by David Wonder.
Related Tags: Wa Yesu, Wa Yesu song, Wa Yesu MP3 song, Wa Yesu MP3, download Wa Yesu song, Wa Yesu song, Mwanzo Wa Yesu song, Wa Yesu song by David Wonder, Wa Yesu song download, download Wa Yesu MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
NJOSKI
Charles Williamd24xc
good work god bless you
jackc7nup
great album brother ❤️
my favourite song ever keep it's up