Walitukuze
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Walitukuze - Baraka Kings
...
Baba wa mbinguni, Nyosha Mkono wako, Wakinga wauone, Walitukuze jina lako, Baba wa Mbinguni, Shusha Baraka zako, Wanyakyusa wazione, Walisifu jina lako, Baba wa Mbinguni, Shusha Neema zako kwetu, Wakongo wazione, Walisifu jina lako, Baba wa Mbinguni, Nyosha Mkono wako, Wakenya wauone, Walitukuze jina lako, Baba wa mbinguni, Tupe mapendo yako tupendane, Nasisi tukuone, Tulitukuze jina lako, Baba wa mbinguni, Nyosha mkono wako, Watu wauone, Walitukuze jina lako, Baba wa mbinguni, Nyosha mkono wako, Nasisi tuuone, Tulisifu jina lako, Kuna ambao hawajui wema wako, Kuna ambao hawajui nguvu zako Masia, Nyosha mkono wako Kyala, Wanyakyusa wakujue, Nabii Elia, Aliita wasio kuamini, Nabii Elia, Na manabii wa mungu wa baali, Ulinyosha mkono wako, Manabii wakakujua, Nabii Daniel, Aligoma kuabudu sanamu, Nabii Daniel, Enzi za mfalme Dario, Ulinyosha mkono wako Baba Babeli ikakujua, Kuna ambao hawajui uzuri wako, Kuna ambao hawajui wema Masia, Nyosha mkono wako, Wakongo wakujue, Kuna ambao hajui uzuri wako Daddy, Kuna ambao wema wako Masia, Nyosha mkono wako, Wakinga wakujue, on ya va, Baba wa mbinguni, Nyosha mkono wako, Watu wauone, Walitukuze jina lako, Baba wa mbinguni, Nyosha mkono wako, Nasisi tuuone, Tulisifu jina lako, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kulia, Twende kulia, Twende kulia, Twende kulia, Twende mbele, Twende mbele, Twende mbele, Twende mbele, Rudi nyuma, Rudi nyuma, Rudi nyuma, Rudi nyuma, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kushoto, Twende kulia, Twende kulia, Twende kulia, Twende kulia, Twende mbele, Twende mbele, Twende mbele, Twende mbele, Rudi nyuma, Rudi nyuma, Rudi nyuma, Rudi on ya va, Kuna ambao, Hawajui uzuri wako Daddy, Kuna ambao hawajui wema Masia, Nyosha mkono wako, Wamasai wakujue, Kuna ambao hajui uzuri wako Daddy, Kuna ambao wema wako Masia, Nyosha mkono wako, Wachaga wakujue, Kuna ambao hajui uzuri wako Daddy, Kuna ambao wema wako Masia, Nyosha mkono wako Wapemba wakujue,
Similar Songs
More from Baraka Kings
Listen to Baraka Kings Walitukuze MP3 song. Walitukuze song from album Walitukuze is released in 2022. The duration of song is 00:06:54. The song is sung by Baraka Kings.
Related Tags: Walitukuze, Walitukuze song, Walitukuze MP3 song, Walitukuze MP3, download Walitukuze song, Walitukuze song, Walitukuze Walitukuze song, Walitukuze song by Baraka Kings, Walitukuze song download, download Walitukuze MP3 song