Marashi ft. Young Lunya & Gosby
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Marashi ft. Young Lunya & Gosby - Lord Eyez
...
turuuuuuuu. zuzuzuzuuuuuuuuu. (ah woo) wameniibia marashiii tururuuuu mmmmmmmmmm oh (ufuuuuu) on mbona. baburin noma mbona hujaona wameniibia marashi (mmmh) pande za masakiiii ye (ufuuuuu) masaki mwanzo masaki kati masaki mwisho. (masaki mwishoo) kula kigaye nakula bati hufiki mwisho (mmh) ndimi nyepesi zilipo ndito mfuko mzito .(uuuuuh) mitaa yangu tandaleeee alafu wananiibia malashi vilainishi nakosa brash hainitishi niamini mbishi silikiss na hamnivishi so sikopeshi (nyie mabepali wakali siri ni kali (siri ni kaleeeee) (wakikanyaga na walamba mkao wa machale(mkao wa machale) bao baooo mzao wa ulolooo siwez kudrow marash yapo masaki mbezi autopoloo kila muda nazidi tu kua nast usiniletee ukoloo kuna muda nakua si wazaki wananita terooo (tero right) tero tero kopa la kiwaki silitaki niuwaki silaiki nipe naikisi siolaiki napiga tai box na taichii naweka mbinu alukais ivi vinu ni nice es ivi vichwa ni pais less cramp everything pritiaaa ona mbona. baburin noma mbona hujaona wameniibia marashi (ufuuuuu) pande za masakiiii ( eeeeee) yeah ugai gai sijaanza sikuizi nimeanza kitambo woh woo pesa kidogo wanaringishia wananletea vitambo (money money) mama alisema kua najitambua mjuzi wa mambo (busara) mjeshi kamili ulitaka kusikia anaogopa mgambo samaki kapata chambo am sex nguli hapa hutapata sifuri hao watu wako wanaonisikia tu hawajanijua vizuri yeaaa bishoo kitambo na wanatambua japokua sivai vipuli wakubwa jinga uwezi shindana na mimi kizazi jeuri (ufuuu) wameiba marashi (ufuuu) natupo masaki watoto wakishua nawapigia mashut mazito makipa hawadaki wanafataga mkondo ila wanaelewa huu moto hawafati tukitimbaga dagaa wanajua uwepo wa samaki samaki badmani nitaingia tisini yukwapi boss wako kaingia mitini wanaita studio naita ofisini amka mafakana haikuingii akilini na unachokiona wambie ni mimi kila wiki naangusha pini nikikinukisha nauji kwa nini wameiba marashi sa nitanukia nini yeah on mbona. baburin noma mbona hujaona wameniibia marashi (mmmh) pande za masakiiii eeee
Similar Songs
More from Lord Eyez
Listen to Lord Eyez Marashi ft. Young Lunya & Gosby MP3 song. Marashi ft. Young Lunya & Gosby song from album ABCD is released in 2022. The duration of song is 00:04:06. The song is sung by Lord Eyez.
Related Tags: Marashi ft. Young Lunya & Gosby, Marashi ft. Young Lunya & Gosby song, Marashi ft. Young Lunya & Gosby MP3 song, Marashi ft. Young Lunya & Gosby MP3, download Marashi ft. Young Lunya & Gosby song, Marashi ft. Young Lunya & Gosby song, ABCD Marashi ft. Young Lunya & Gosby song, Marashi ft. Young Lunya & Gosby song by Lord Eyez, Marashi ft. Young Lunya & Gosby song download, download Marashi ft. Young Lunya & Gosby MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
FREDj08aj
Junior Izz
king izz. mnako. lord eyez. isac.
kelvin Uriocvd86
bisho wamtat
kelvin Uriocvd86
Hiyo nikwahuni wote mamen
Mussa Johncw1j7
ofsir
Johzp0myk
Mbuuuzi ooooh my
enkyfrank_
Gosby
Rama dzoo
l̺͆i̺͆k̺͆e̺͆ t̺͆w̺͆e̺͆n̺͆d̺͆e̺͆ ᐯᗴᐯO
saidiruambo
Baba la hardcore... ninomaaaaa
Malcom Mtangii
Big 5
Willeth4at
Noma san
Mafia Rhymez
Hii kar yao buddah
[0x26a1][0x26a1][0x26a1][0x26a1][0x26a1]