![Toto ft. Country Wizzy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/23/8f1dfbe51d8845819c56701d460fb2f8_464_464.jpg)
Toto ft. Country Wizzy
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Toto ft. Country Wizzy - Moni Centrozone
...
Malume , S2kiz baby yule boy majengo sokoni niuzeee wee hata ukivaa jeans haikatai bastora nazo haikatai akivaa kimini haikatai mtoto anakulaga nini haikatai nampaa cha ukucha wangu masuditas we run the town tuna pasua speakers is time to shine insta mbaka twitter wapinzani wasome hashtags jijini kuna too to kuna toto kuna tooto kuna toto kuna too to kuna toto wee hata ukivaa jeans haikatai bastora nazo haikatai akivaa kimini haikatai mtoto anakulaga nini haikatai kumbukumbu nzuri medula oblongata so shepu tu na uzury kitandani multipurpose kasoma mbak college kutoka shule ya kata yuko na main service hataki boy wa campus mi namjua yeye ni believer bebe Justin Bieber mara kwanza kuja mtani alikua gramy na ma niggers wengine mkeke washa chanishwa bila pesa ni pasua kichwa mi na we itabaki kama picha jijini kuna tooto kuna toto kuna tooto kuna toto jijini kuna toto to kuna toto wee hata ukivaa jeans haikatai bastora nazo haikatai akivaa kimini haikatai mtoto anakulaga nini haikatai Yule boy yeah mtoto ana bong la wowo usiombe aki katika wowo akienda chini low low mmh yeah mtoto anabonge la guu guu la kufa jitu pisi imetia miguuu inetoroka kwa bwana misitu pisi inaukali wa kisu boom bang bang bola za ishu toto jeupe ka tishu yeah baby nice to meet you yeah kwa bed anavyokata who la huu huu huu tena napendaga akiwa kwa juu juu juu ju nikiona simu moja i'm coming through Central zone east zuu jijini kuna too to kuna toto kuna too to kuna toto jijini kuna too to kuna tooto kuna tooto tot hata ukivaa jeans haikatai bastora nazo haikatai akivaa kimini haikatai mtoto anakulaga nini haikatai.....???
Similar Songs
More from Moni Centrozone
Listen to Moni Centrozone Toto ft. Country Wizzy MP3 song. Toto ft. Country Wizzy song from album Toto is released in 2022. The duration of song is 00:03:12. The song is sung by Moni Centrozone.
Related Tags: Toto ft. Country Wizzy, Toto ft. Country Wizzy song, Toto ft. Country Wizzy MP3 song, Toto ft. Country Wizzy MP3, download Toto ft. Country Wizzy song, Toto ft. Country Wizzy song, Toto Toto ft. Country Wizzy song, Toto ft. Country Wizzy song by Moni Centrozone, Toto ft. Country Wizzy song download, download Toto ft. Country Wizzy MP3 song
Comments (51)
New Comments(51)
jax8my7m
lukangaa
[0x1f602][0x1f652]
Chris Aivan 1999
Totoooooooo
Chris Aivan 1999
washa seapiano u gonna enjoy it
Bill swagg
kmmk kuna Toto shout out [0x1f63f][0x1f63f]
iamaustineo2y
Mtoto anabongeeh wowo usiombe aka!!!!!
Abdallah hamiduye67k
nomah
Juma Chikundu
mchanq wa jua kalee play this song at your gheto kweny sabwoofor la seapiano[0x1f605]
Juma Chikundu
unyam mwingi sana,
boyt3oi2
jijini kuna totoo
Vcent Massawe
kuna toto
Farianny hb%
unyama
dondosha like kama unamkubali centrozone na country wizzy