- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Vumilia - Guardian Angel
...
................. vumilia roho yangu majaribu ni kama moto unaochoma imaini yangu bwana naomba unisaidiye vumilia roho yangu majaribu ni kama moto kunaochoma imani yangu (bwana)bwana na omba unisaidie siku za bwana ni nyakati hizi weka imani wamewekwa kando imani yao ijaribiwe bwana na omba unisaidie siku z bwana ni nyakati hizi wenye imani wamewekwa kando imani yao ijaribiwe bwana naomba unisaidie*2 unisaidie *2 bwana na omba unisaidie unisaidie*2 bwana na omba unisaidie vumilia roho yangu majaribu ni kama moto unaochoma imaini yangu (bwana)bwana naomba unisaidiye vumilia roho roho yangu majaribu ni kama moto unaochoma imani yangu bwana na omba unisaidie*2 unisaidie*2 bwana na omba unisaidie unisaidie*2 bwana na omba unisaidie natoka kwako shetani kwaheri ndani yngu niwe salama ,,,,, yesu nifiche nisionekane bwana na omba unisaidie unisaidia*2 bwana na omba unisaidie unasaidie*2 bwana na omba unisaidie by @onlywalase01
Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Vumilia MP3 song. Vumilia song from album Arise and Shine is released in 2022. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Vumilia, Vumilia song, Vumilia MP3 song, Vumilia MP3, download Vumilia song, Vumilia song, Arise and Shine Vumilia song, Vumilia song by Guardian Angel, Vumilia song download, download Vumilia MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
chebzy02tb
Vivian Shimuli
This song heals[0x1f63f]
Juwess chris
✅
Nasra Mhea
Vumilia roho yangu[0x1f60e]
Jidaikjlox
Good one
CherediJoshua
Ya mwaka
woow the song is super powerful .