- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Asante - Guardian Angel
...
alinifunza mama unachotaka kupata maishani lazima uwenacho lazima ukiwaze akilini alinifunza mama utakachopata siku z usoni nikile uwazacho kile ulichonacho akilini kuna yule anataka kupata mume mzuri mke mzuri waishi naye kwa furaha furaha furaha furahaaa kuna wale wanakesha kuomba waweze kupata mtoto mzuri waishinaye kw furaha furaha furaha furahaa kuna yule anataka kupata nyumba mzuri na gari mzuri maisha yawe furaha furaha furaha furahaa ila mipango ya mungu ni differee different wewe kupata kukosa ni incident incident anacho panga kukupa ni differee different inakubidi uamini ni incident incident asante sana hata kama ni mekwama sana asante sana kwa mazuri na mabaya sana asante sana kwa uzuni n furaha sana asante sana ulalalala sana kama nilipanga niwe doctor kuwa mungu alipanga nisiwe doctor ndio nikiiba watu wanaokoka mapepo yanatoka wafu wanafufuka t k naye alipanga tofauti na mungu akamfanyia tofauti na sasa ndo anaitumia kumtumikia na kufanya maisha ya watu yawe tofauti kweli mipango ya mungu ni differee different wewe kupata kukosa ni incident incident anacho panga kukupa ni differee different nakubidi uwamini ni incident incident asanti sana hata kama nimekwama sana asanti sana kwa mazuri na mabaya sana asante sana kwa uzuni n furaha sana asante sana ulalalala sana By @onlywalase01
Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Asante MP3 song. Asante song from album Arise and Shine is released in 2022. The duration of song is 00:02:49. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Asante, Asante song, Asante MP3 song, Asante MP3, download Asante song, Asante song, Arise and Shine Asante song, Asante song by Guardian Angel, Asante song download, download Asante MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Raphael p6ami
Raphael p6ami
pleased song
153160370
Justin
MrB Karen
Asante hata kama nimekwama! Asante sana.
P sun boyy
Safi ila kama umerapper ndugu mtumishi
Maurine Paul
[0x1f60e]
Aaron BMj583t
oya oyaaa, nakubali sana, Asantee[0x1f63f]
CherediJoshua
Good one
pleased song