
Ithaa ft. Dope-I-Mean
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Ithaa ft. Dope-I-Mean 🅴 - Boutross
...
YEAH EIYYY Sipendi izo form kwani ju morio alishikwa na Mali mtaani akirombosa ngoko flani Chali alimshow ajui ni ya nani kumbe uyo ngeus alikua ashamseti boy alishindwa ni gani ndo manaa huezinipata na ngeus wanaitwanga nyokabi story za nyoka ndo staki naskianga skuhizi vijana wameshika nashindwa wameshkia wapi (wapi) me nauliza tu mara ngapi (ngapi) tunaingia stage tukangusha mabadie (yeah) there's too many fish in the sea lakini sa Kuna shark na Kuna tilapia Kuna wenye hukulaga vifity vibaya na Kuna wenye hukulanga Mafi (ehh) Niko idhaa (ehh) vile itakuja no was(ehh) ashaniambiaga ni sos (sos) nikamwambiaga reverse (eeh) okay wahh (eeh) drop it like baby yah slow (slow) akaniambiaga ni sos (sos)(ehh) nikamwambiaga reverse (reverse) Niko idhaa (ehh) vile itakuja no was (ehh) ashaniambiaga ni sos (sos) nikamwambiaga reverse (ehh) okay wahh (eeh) drop it like baby yah slow (slow) akaniambiaga ni sos (sos) nikamwambiaga reverse (reverse ) Kuna sos flani mtaani ana gari lakini ye hudedi mamboch mpaka nashindwa ni aje I thought ukiwa na ganji maskin ndo huflock so me na wife wake hipiganga show mangware kicha tuko ndani ya bafu ju ni wasafi nachezanga chafu so Nina nguna wawili watu Nina madhafu maskani nakunyuanga uji ya njoti (njoti) me ndo kunyamba kusema kwa ploti (mmh) nite me baba ju Geri ni forty (aty) ata iyo Jaba ikishika sichochi (weeh) fika kahawa ukule makofi (phaa) kukianza baridi joh shika kikoti (haa) Tihumi ni Khali utakula ma swa.... Ju Niko idhaa (eyy) vile itakuja no was (ehh) ashaniambiaga ni sos (ehh) nikamwambiaga reverse (ehh) okay wahh (eeh) drop it like baby yah slow (slow) akaniambiaga ni sos (eyy) (sos) nikamwambiaga reverse (reverse) Niko idhaa (ehh) vile itakuja no was (ehh) ashaniambiaga ni sos (sos)(eeh) nikamwambiaga reverse (reverse)(eeh) okay wahh (eeh) drop it like baby yah slow (slow) akaniambiaga ni sos (sos) nikamwambiaga reverse (reverse) ...................
Similar Songs
More from Boutross
Listen to Boutross Ithaa ft. Dope-I-Mean MP3 song. Ithaa ft. Dope-I-Mean song from album Mawingu is released in 2022. The duration of song is 00:02:02. The song is sung by Boutross.
Related Tags: Ithaa ft. Dope-I-Mean, Ithaa ft. Dope-I-Mean song, Ithaa ft. Dope-I-Mean MP3 song, Ithaa ft. Dope-I-Mean MP3, download Ithaa ft. Dope-I-Mean song, Ithaa ft. Dope-I-Mean song, Mawingu Ithaa ft. Dope-I-Mean song, Ithaa ft. Dope-I-Mean song by Boutross, Ithaa ft. Dope-I-Mean song download, download Ithaa ft. Dope-I-Mean MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
shaku master
baby Trizzy
ii n mwoto baya
Smoke254faqi3
Eiiiii nice one boutross[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Evans Onyangodc931
Nomaaaaaaaaaa nani kama boutrose
rismoevhzq
genje
Legin.ke
Mbayaa
Huwanga mbaya [0x1f621]