Ananipigania ft. K2ga
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ananipigania ft. K2ga - Vanillah
...
Ananipenda toka moyoni mpaka macho yamekua mekundu
Hataki kuhesabu maudhi yangu
Anayapaka ukungu
Yani ananipenda mpka namuona mjingaa
Atanikivuja jasho analeta ndoo analikinga
Yeye anawivu na mimi ataki nioge na sabuni
Anahisi nikioga na sabuni pekeangu ntamsalitii
Ataki nionewe maumivu marufuku kwa mimi
Ata akining'ata kunguni maji ya moto anamchoma
Ye ana
see lyrics >>Similar Songs
More from Vanillah
Listen to Vanillah Ananipigania ft. K2ga MP3 song. Ananipigania ft. K2ga song from album LISTEN TO ME is released in 2022. The duration of song is 00:03:40. The song is sung by Vanillah.
Related Tags: Ananipigania ft. K2ga, Ananipigania ft. K2ga song, Ananipigania ft. K2ga MP3 song, Ananipigania ft. K2ga MP3, download Ananipigania ft. K2ga song, Ananipigania ft. K2ga song, LISTEN TO ME Ananipigania ft. K2ga song, Ananipigania ft. K2ga song by Vanillah, Ananipigania ft. K2ga song download, download Ananipigania ft. K2ga MP3 song
Comments (147)
Top Comments (32)
Togolamama9
Agatha Simon
Good Music >
Nurdin Nurdin.
ngoma iko hot [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>
New Comments(147)
waridys7cnu
umeonaa eeeh
Vanilla na Ally mahaba wamefanana sana kisauti...collabo yao itapendeza sijui[0x1f638]
waridys7cnu
nimeipendaa❣️
Asha Saidfm28g
❤️
Shebby 995
Tho s is how we saying good music be ver dies
Musa petermsap
nice
kisu racka
mchz wa UK [0x1f63f]
102434742
ngoma za kusikilza ukiwa huna madeni wala haujawa tungi [0x1f602][0x1f602]
Umetisha sana muhuni wang
Mje BoyTZ
hatariii sanaaaa[0x1f60e][0x1f60e][0x1f630]
@denis alex:
show
legendfcu5w
Vanilla na Ally mahaba wamefanana sana kisauti...collabo yao itapendeza sijui[0x1f638]
kabwe_47.tz.utawala
ngoma Kali mwamba anajua
Kama unamkubali vanillah gonga like twende sawa ❤️❤️>