Ahadi Zake
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ahadi Zake - Serge Kamondo
...
Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Alihadi atatenda, mtumanie Bwana
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema
Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
see lyrics >>Similar Songs
More from Serge Kamondo
Listen to Serge Kamondo Ahadi Zake MP3 song. Ahadi Zake song from album Ahadi Zake is released in 2022. The duration of song is 00:02:32. The song is sung by Serge Kamondo.
Related Tags: Ahadi Zake, Ahadi Zake song, Ahadi Zake MP3 song, Ahadi Zake MP3, download Ahadi Zake song, Ahadi Zake song, Ahadi Zake Ahadi Zake song, Ahadi Zake song by Serge Kamondo, Ahadi Zake song download, download Ahadi Zake MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
r.a.y.n.elz5pw
why can't I find the original song by Marion?