- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Wazi - Alidimpo
...
yoh aah..
alidimpo baby
cheki aahh
yoh aah
usijali we mama nakuja githu salama
napitia kasa na bama nakula nyama kwa nyama eti mapenzi nagoma nahisi niko na homa naye priya kahama hanitaki tena lawama,siri ya dawa na sumu jua ni tembe ukitaka sana utamu utapewa wewe maembe,chuki ya mimi na wewe jua ni pembe,mtoto akilia unampa yeye na wembe..HEY stop!
leo nitaeashangaza acha niwape mwangaza vile mambo yalianza siku zangu za kwanza,yeh!wengine wakiwa na baba mlezi wangu alikuwa mlevi,baba yao akiwaelewa wetu alikuwa analewa,wao akiwapa pesa wetu alikuwa anatutesa,Ashakum matusi kondoo hatufanani we,i matured out of struggles you matured of age baby sitting playing with sandles, I can't risk to fuck up coz am the back up you need to shut up before you mnmh!Murife don't run amepata kazi ni scum,hufai kuburn babygirl ukiwa na gum!wrong motivation,mapenzi ni balaa kwenye Shimo la tamaa uliojua zuzuaa napea hit vile inafaa napea dame ushujaa kwenye beat sitakaa,AAAH AAH AAH aah wazi×4
Similar Songs
More from Alidimpo
Listen to Alidimpo Wazi MP3 song. Wazi song from album Wazi is released in 2022. The duration of song is 00:02:26. The song is sung by Alidimpo.
Related Tags: Wazi, Wazi song, Wazi MP3 song, Wazi MP3, download Wazi song, Wazi song, Wazi Wazi song, Wazi song by Alidimpo, Wazi song download, download Wazi MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
carlosfi43x
crazy[0x1f63f][0x1f63f]