
Endelea Kusubiri
- Genre:Blues
- Year of Release:2022
Lyrics
Endelea Kusubiri - ELTONE7
...
Ni mengi sana unapitia
yanaumiza moyo
mateso makali unayopitia lakini usife moyo
pengine ndoa yako inayumbayumba
pengine ndugu zako wamekutenga
pengine hujui kesho utakuwa wapi
pengineeeee afya kwako nayo ni kikwazo
mmmmmh we vumilia utashindaaaa.
Endelea kusubiri usivunjike moyooooh
wewe mwamini yesu atakupigania
see lyrics >>Similar Songs
More from ELTONE7
Listen to ELTONE7 Endelea Kusubiri MP3 song. Endelea Kusubiri song from album Endelea Kusubiri is released in 2022. The duration of song is 00:04:23. The song is sung by ELTONE7.
Related Tags: Endelea Kusubiri, Endelea Kusubiri song, Endelea Kusubiri MP3 song, Endelea Kusubiri MP3, download Endelea Kusubiri song, Endelea Kusubiri song, Endelea Kusubiri Endelea Kusubiri song, Endelea Kusubiri song by ELTONE7, Endelea Kusubiri song download, download Endelea Kusubiri MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
elitone7
wimbo mzuri
elitone7
Utukufu kwa Mungu tusaidiane kuusambaza uwafikie wengi ndugu
wimbo mzuri
Omar Magomba
wimbo mzuri
elitone7
thank my friend from zambia.[0x1f641][0x1f641]
wow ... this sound is so sweet
Felix Zangata
wow ... this sound is so sweet
elesia renatus
nitaendelea kusubiria
elitone7
wala usife moyo mungu hachelewi,pokea kwa jina la yesu
nitaendelea kusubr mungu wangu[0x1f60d][0x1f60e]
Silah Mkini
nitaendelea kusubr mungu wangu[0x1f60d][0x1f60e]
elitone7
unapo pita kipindi kigumu sio kwamba mungu amekutenga huenda kwa sababu umemtenda dhambi hapana wakati mwingine ni maandalizi ya hatua nyingine kubwa hivyo usife moyoa
Utukufu kwa Mungu tusaidiane kuusambaza uwafikie wengi ndugu