Honey
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mi natumaini nipate penzi mi natumaini nipate penzi
Wazamani nimachizi wathamani tena nawiri
Lakini wanaimani kutunza penzi lakini wanaimani kutunza penzi
Marespa Mimi siwawezi wanna whisper na vitenzi
Wadosi na nyuma walinzi wamjini ndo Ni visasi
Sema tu wangu honey wanipenda mi mahaa au
Unaniringa mi mahaa au unanipenda mi mahaa
Nimekita kwako Kama mzizi unizalie nami kigwana
Bado nakumwagilia maji unitole ua la shani
Nikujulishe kwa marashi wata seradai na la waridi
see lyrics >>Similar Songs
More from Arby
Listen to Arby Honey MP3 song. Honey song from album Honey is released in 2022. The duration of song is 00:03:41. The song is sung by Arby.
Related Tags: Honey, Honey song, Honey MP3 song, Honey MP3, download Honey song, Honey song, Honey Honey song, Honey song by Arby, Honey song download, download Honey MP3 song