Jishikilie
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Jishikilie - Miki
...
Haya Shauriki Wala Hanaya Mjuzi.. Ukipata Jishikilie.. Jishikilie..
Jishikilie.. Jishikilie..
yakichanya burudani Yani Raha utatamani utembeze vipeperushi ulie nae unamuona tufaa awe tunda umlambe hata nyusi yaki geuka nusu uchiz kichaa hata wazazi unaweza kuwatusi dunia nzima utaiona adaa. . uvunje Nazi labda ufute nuksu..
shida sio kujua sana mapenzi maana wenye mali na pesa ni wengi ila kwe miti hakuna wajenzi iiiih ouhooo.! sikuhizi Kuna sponsor madanga walezi wakikamatwa wanamwaga pesa ki ndezi peleka moto usiendokeze Cha mkwezi iiiih weweee.
Huo Ndo utamaduni wa mapenzi hayashauriki Wala hayama mjuzi ukimpata Jishikilie.. Jishikilie. Eeh Jishikilie. Jishikilie Eeh
Ndo utamaduni wa mapenzi hayashauriki Wala hayama mjuzi ukimpata Jishikilie.. Jishikilie. Eeh Jishikilie. Jishikilie Eeh..
see lyrics >>Similar Songs
More from Miki
Listen to Miki Jishikilie MP3 song. Jishikilie song from album Jishikilie is released in 2022. The duration of song is 00:03:00. The song is sung by Miki.
Related Tags: Jishikilie, Jishikilie song, Jishikilie MP3 song, Jishikilie MP3, download Jishikilie song, Jishikilie song, Jishikilie Jishikilie song, Jishikilie song by Miki, Jishikilie song download, download Jishikilie MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Meek Dadyjobke
magical sound