
MIMI NAWEWE
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nilisemwa mambo mengi yakuchafua ubongo
Ili mimi kwako nionekane muongo
Eti nikitoka tunapishana,nyuma marafiki zako ni wavulana
Mara wanasema hatujaendana,mimi nakuona kama dodo
Tena moyoni nishakupenda unajuwa,kichwani hayawani ukinitenda ntajiua
Kwenye mvua kiangazi twapendezana,we ndo pacha tulio fanana
Naamini hatuto tengana hayeee!
Yanitume bana bana kama banana,leo yamezidi hata ya jana
Kwa mapenzi teletele usiku na mchana,sasa kwa nini wanizengue eehh!
see lyrics >>
Similar Songs
More from DALA KING
Listen to DALA KING MIMI NAWEWE MP3 song. MIMI NAWEWE song from album LA AFRIQUE is released in 2022. The duration of song is 00:02:41. The song is sung by DALA KING.
Related Tags: MIMI NAWEWE, MIMI NAWEWE song, MIMI NAWEWE MP3 song, MIMI NAWEWE MP3, download MIMI NAWEWE song, MIMI NAWEWE song, LA AFRIQUE MIMI NAWEWE song, MIMI NAWEWE song by DALA KING, MIMI NAWEWE song download, download MIMI NAWEWE MP3 song