Asifiwe ft. Flavour Sun Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Asifiwe ft. Flavour Sun - Sharo Misifa
...
Aai Uuuh Eeeh
Flavour Sun eh , Misifa tena
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba Wa huruma tena tumpe sifa Yeye
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye
Yale Mambo ya zamani ,umefanya historia
Maadui unawaonyesha vumbi, ukasema sitolia
Una upendo wa kweli , unapendaga kwa sana
Toka tene uko pamoja nami, ninakuita hossana
We ndio mwema ninakuita Baba (aaah),Usiku mchana we ndio watawala
kwa yangu maisha wewe ni wa maana heeeey
(Mbali umenitoa kule kule
Nikiwa Bure Bure
Sasa niko gude gude)×2
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye

Hivi kwake niko sawa, sina lawama
Ananipenda sana
Baraka ninapata toka kwake ki-design sina noma
Na he's so good to me
Hawezi kunieka chini
kila siku mola yuko na mimi heeeey
Nahisi Nina sababu, sababu kubwa
ya kukuimbia jalali umbali umenitoa Baba
(Hakuna kama wee hakuna ninayependa ni wewe Baba)×2
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye
(Mmmh unayependa ni nani (ni mola)
Anayekupa ni nani (ni mola)
Anayebariki nani (ni mola) ooooh)×2
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye
Asifiwe Huyu Baba wa binguni tena tumpe sifa yeye
Ainuliwe Huyu Baba wa huruma tena tumpe sifa yeye
Uuuh oooooh
heeee ooh oooooh
oooooh oooooh
eeeh
Flavour Sun