Mapenzi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mapenzi - Chilomony Asady
...
its a black panther
its chilomoony
aiye iyee iyee mmmm
ooh mapenzi haya siri usiambiwe
yamwenzako yasikie tu, omba yasikufikie
na mapenzi haki ya mungu usisikie uakikukita ni aibu tu bora tu usimuliwe
unaweza ukapata kimwana mkapendana sana
zile mbwembwe kuchat kwa sana ananuna usipopatikana
ila itafika wakati hutoamini na utahisi dunia imekutenga
hakuna chatting wala calling zaidi ya zile za huduma kwa wateja
yani ooh nyie omba usisikie, haya mapenzi nyie omba hasikuchenjie
yani ooh nyie omba usisikie haya mapenzi nyie omba yasikuchenjie oooh
yanapoanzaga na mbwembwe, kupostiana caption makopa
yanapoisha kimbembe, hapo bhna mi ndo nayaogopa
mambo ya kulazimishana kula (ayaaa)
usipokula anafura (mwayaa)
anaikunja sura (mbayaa)
unadekezwa mpaka raha

ASADY