TERRITORIO | Drill Type Beat Instrumental Drill Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
TERRITORIO | Drill Type Beat Instrumental Drill - Rm On The Beats
...
c ndio sembe we step in ,na tumekam kupull up
si tushakuwa rulers hii street ni nani hurusha
scene si hupiga ni either ufure ama ubaki kuulala
mtaani tu ni uliga west to south hatunanga pupa
kudigi ms ni kujingora na wanajua,hi ndio sike ya rende skiza lugha
alijifanya gambler kijana akawa looser
hatunanga warning yani hdi hatunanga sorry
morio ngori alinitrace bila form nikiwa lonely
Na vako za mgeni kubisha hodii
knock knock rada sili c labda tutoke hvi so sad i was blinded but kaa ni kwa bingi iko nini
back then daro sita nlikuwa na morio alipenda vita
day jamo tukipita pita kuna morio alifanya blander