Umeinuliwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeinuliwa - Asia Njoki
...
Umeinuliwa
Umeinuliwa juu
Umeinuliwa
Umeinuliwa juu
hakuna wa kushinda, shinda
Umeinuliwa juu
hakuna wa kupinga, Pinga
Umeinuliwa juu
umejawa huruma na rehema tele
isiyo kuwa na kipimo maishani mwangu
ni maneno gani mi nitumie
ni wimbo gani nikuimbie
iwe sawa na ulo fanya mungu
iwe sawa na ulo tenda mungu
nimekosa nimekosa maneno nimekosa
nimekosa nimekosa mwenzenu matendo nimekosa
Umeinuliwa
Umeinuliwa juu
Umeinuliwa
Umeinuliwa juu
hakuna wa kushinda shinda
Umeinuliwa juu
hakuna wa kupinga pinga
Umeinuliwa juu yeeeehhh
mi nitume mi niende ehh
ujumbe nifikishe
ulimwenguni kwote
kama ni bara afrika nitaenda nitaenda
huko ulaya nitaenda nitaenda
kokote paleeeee
nimekosa nimekosa maneno nimekosa
nimekosa nimekosa mwenzenu matendo nimekosa.