
Champion ft. Rich Mavoko & Naomisia Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Champion ft. Rich Mavoko & Naomisia - Fid Q
...
Wewe mwana usitoke kwetu weeh/
Hizi zote ni Mila zetu weeh/
Sisi washindi wa vizazi vyetu weeh/
Wewe mwana usitoke kwetu weeh/
Hizi zote ni Mila zetu weeh/
Sisi washindi wa vizazi vyetu weeh/
Kama ni yako lazima uchukue
Fid Q:
Vile nina discipline/ hata ukinidiss mimi.. ‘/sileti shazi , sikuweki wazi kwenye big screen/
Ninasaka chi- ching... ninafanya big tings/.. kazi kazi.. nyie waduanzi hamnishushi mimi/
Mie ni striker mwenye kiu ya kuitikisa
nyavu/
Mie ni fighter.. kauli mbiu ni kuwashikisha adabu/
Taita mwenye mbio zisoumiza pafu/
Kama BAISA ukiwa na mlio ukiniita mie ninarapu../
Na nikitema sixteen au hata nyingi bars/
Ninarushiwa g-strings.. shilingi au hata bras/
Mixa shangwe nyingi, applause.. picha wanipambe mdingi ofcoz watambe wako na king wa flows za kibabe wawachape paa/
Mablingbling.. mie huwaga sipendi yavaa/
Nimejaa madi dini.. kichwani mengi sa(na)..
na ninapowin win/
ninaona macho ya chini chini/
kama msako wa kingpin/
mie na hustle ni twin twin.. /
Haters wananuna why sijalegeza? Mayn..
Haupaswi kupuuzwa kama hauna cha kupoteza/
Na hata kama ni fedha nyingi nitashika/
na kutekeleza yale ya msingi kila dakika/
Ninaikumbuka shida mavumba nikishika..
Ninawasafisha walionichafua/
walioniombea njaa ninawalisha na kuwanyanyua/
Walioniangusha walioniliza ninawafuta chozi/
Walionidhulumu wakinikopa ninawalipa ofcoz/
kero za kelele ninazijua..
Na sio kila kinacho kusongesha mbele ni hatua/ sure.. kwani..haujawahi kugomewa na break za gari pindi ukiwa mlimani ?/
au kwenye spidi kali na vigingi havionekani/
Ukapona ajili ya dua za wale witness kwa njia/
Kumruhusu mdhaifu akukere hiyo ni weakness pia/
Kuna mambo hayaji bila fosi.. hivyo ukipozi utanywea/
Na kwangu UHURU si chochote ikiwa hautoniruhusu kukosea..
Nilipigana till the end
I am a champion
I heard them say..
I’m a champion yeah yeah
Simuoni wa kunishinda /
Daily ninawin..ninautwaa ubingwa/
I am a champion..
I heard them say..
I’m a champion yeah
Rich Mavoko:
Yule mnyama aliyekuja juzi ndio yule yule bwana weeh/
Jikaze upate ujuzi.. na usitoke bure bwana weeh/
Usije kufa kiboyo/
Kutwa kucha kwa kigodoro/
Kukaba kwa vichochoro/
Usiitafute kasoro wowooo/
Naomisia:
The view is nice from where I stand
Nilipigana till the end
I am a champion
I heard them say..
I’m a champion yeah yeah
Simuoni wa kunishinda /
Daily ninawin..ninautwaa ubingwa/
I am a champion..
I heard them say..
I’m a champion yeah
Rich mavoko:
Sisi washindi wa vizazi vyetu weeh..
Lyrics by Labuu