Amani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikiwa ndani Yesu nina furaha tele
Nina amani moyoni mwangu
Nikiwa ndani ya Yesu uuuh uuu
Nikiwa ndani ya Yesu
Nikiwa ndani Yesu nina furaha tele
Nina amani moyoni mwangu
Nikiwa ndani ya Yesu uuuh uuu
Nikiwa ndani ya Yesu
Eeeh amani yake yanitosha
Amani yake yanikosha
Nikiwa ndani ya yesu napata amani yeye
Amani yake yanitosha
Amani yake yanikosha
Nikiwa ndani ya yesu napata amani yeye
Bwana wa amani Jehovah shaloom oh oo
Amenipa amani
Amenipa utulivu
Amenipa furaha ndani kwake Yesu na enjoy
Amenipa amani
Amenipa utulivu
Amenipa furaha ndani kwake Yesu na enjoy
Ndugu yangu kabithi moyo wako kwa yesu upate amani iih iii
Amani iih ii iih
Nime hangaika inchi mbalimbali kutafuta amani
Nimetembea huko na kule kutafuta amani
Nime hangaika inchi mbalimbali kutafuta amani
Nime tangatanga hata kwa waganga kutafuta amani
Ila kwako bwana Yesu nimepata amani isio pimaka
Baba aah aaah
Amani
Oh amani oh amani oh amani nikiwa ndani ya Yesu
Upendo
Oh upendo oh upendo oh upendo nikiwa ndani ya yesu
Amani
Oh amani oh amani oh amani nikiwa ndani ya Yesu
Furaha
Oh furaha oh furaha oh furaha nikiwa ndani ya Yesu