Revolution Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
It's time to make a move!
It's time to make a move!
It's time to make a move!
It's time to make a move!
It's time to make a move!
It's time to make a move!
It's time to make a move!
Niite Mkamba, juu I no tire!
Niite komodo, I spit fire!
Your defence is my attack, jiite Maguire!
Tunajituma huu mtaa, hakuna senti!
Wanasema kama hatuna bread,
Mbona tusikule keki? Ama kaimati?
Ndio tukule chapati, itabidi tujoin illuminati!
Economy ni hard, hadi walevi wameturn to my bars!
Huku hazikubali, itabidi tutry huko Qatar!
Tulielect leaders, wameturn dealers!
Wanaserve letters, wakikula figures!
Waki save face tunalose siku za usoni!
Msoto ni hard ku-move, hadi wanati siku hizi hawasongi!
It's time to say the truth, lie ni ati hawatupangi!
Leo ni mambo, ukoloni!
Ya kesho tutaona, leo tu ni maoni!
Revolution ni sasa
Fungueni ukurasa
Chapter mpya siasa
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Revolution ni sasa
Fungueni ukurasa
Chapter mpya siasa
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Wanapeana ndom kwa youth for free, wanasema ni freedom!
But saa yoyote inaweza lipuka, juu youth ni time bomb!
Wanasema tukule an apple a day,
To keep the doctor away,
But bila jobs, hakuna apple!
Out here tunadie, hatuna mali, but doc anadai mali-po!
Tunahead wapi kaa hatuwezi foot simple bills za hospitali?
But try kudedi kama unadhani kuishi ni bei ghali!
It's like kuwa well healed, lazima ukuwe well-heeled!
Kwa uwanja ni empty promises, wanaclaim ni fulfilled!
But sasa hii nafasi
Tucheze kama sisi
Tuondoe hawa fisi, ofisi!
But sasa hii nafasi
Tucheze kama sisi
Tuondoe hawa fisi, ofisi!
Revolution ni sasa
Fungueni ukurasa
Chapter mpya siasa
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Revolution ni sasa
Fungueni ukurasa
Chapter mpya siasa
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!
Kama si sasa ni sasa hivi!