Mbona (feat. Mr Blue) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2006
Lyrics
Mbona (feat. Mr Blue) - PNC
...
PNC ft Mr Blue Mbona
Jua nafuu Bado sijapata kabisa
Kipi nilichofanya mpka we ukanitosa
Au sababu mapene sijshika
Au sababu mapene sijshika
Jua nafuu Bado sijapata kabisa
Kipi nilichofanya mpka we ukanitosa
Au sababu mapene sijshika
Au sababu mapene sijshika
Nilishafika mpka kwenu mimi
Nikatangaza ndoa uishinami
Wazazi walikubaliana nami
Japokuwa utakinithamini
Hivi kwanini moyo wangu unaumiza
Nikupenini labla utaniskiliza
Basi skia hii Nyimbo nakubembeleza
Weeh eeh eeh eeeeeeeh!
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa
Baby
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa aaaah
Kama sauti tayari zishaskika
Basi nakuomba babe girl weitika
Njoo kwangu bilakusita
Namininami moyo wangu utafarijika
Kwako nishadata walasitopwaya
Kusemakwamba nakupendasana
Ukinionafala mintasema inshallah
Sababu tu I love you Mama
Kwako nishadata walasitopwaya
Kusemakwamba nakupendasana
Ukinionafala mintasema inshallah
Sababu tu I love you Mama
Natena nilishafika mpka kwenu mimi
Natena nikatangaza ndoa uishinami
Natena nilishafika mpka kwenu mimi
Natena nikatangaza ndoa uishinami
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa
Baby
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa aaaah
Baby usimwache PNC cheki analia kwenye Verse
Baby usimvibe crazy nomanoma nomanoma
Nomanoma nomanomaaaah
Baby usimwache PNC cheki analia kwenye Verse
Unamdrive crayzee noma
Kama Jeni wangu yeanakupenda huyu
Mpenz wako mbona umskilizi Mama
Wakati Yemwenzako anakupendasana
Ucimwache pnc
Mimwezako namawazo mengi yule
Shemeji yangu ambaye nilipendasana yaan
Mimwezako inaniumasana usimwache PNC
Baby usimwache PNC cheki analia kwenye Verse
Unamdrive crazy noma mbonaaaaaah
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa
Baby
Mbona minilishakueleza Yangu Toka Moyoni
Weutaninielewaaa aaaah