
Shauri Yako Lyrics
- Genre:Folk
- Year of Release:2015
Lyrics
Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou wangu mama
Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou wangu mama
Mapenzi ya kwetu eeh, haita tawi hata mama
Mapenzi ya kwetu eeh, haita tawi hata mama
Tabia yako na yangu haisikilizani
Tabia yako na yangu haisikilizani
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mtu mama, dhambi kwa Mungu Baba-yo
Siwezi kuua mtu, mama
Unapenda kuvaa, mimi sina namna, oh Fatou wee
Unapenda kula vizuri, mimi sina pesa, oh Fatou wee
Nipe mali, sizoe
Niuwe mtu, nipate dawa ya feza
Niuwe mtu, watanifunga
Niuwe mtu, dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi wee, uende lote mama
Kama hunipendi wee, uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mtu mama
Siwezi kuua mtu, mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, wende lote Zena wangu